Onyesheni tiketi zake tuzione, sisi ndio waajiri wake...tumemwajiri kwa niaba. Mnaficha ficha vitu gani...hizo pesa sio za ukoo wenu peke yenu, ni za wananchi wote waishio Tanzania. Taarifa za Rais zinatakiwa kuwa wazi wananchi tujue haaaa!. Wanajibu kwa mafungu mafungu utafikiri wako sokoni wanauza nyanya wamesahau haya ni mambo ya kitaifa na wananchi wanatakiwa kujua kinachoendelea