Kuna wakati alikodi ndege kwa safari ya nje?“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
:
Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.
Mbona hatuoni air ticket? onyesheni basi na siyo kuongea tu kwa mdonoKuna wakati alikodi ndege kwa safari ya nje?
Sio kweli kwamba ameokoa fedha, wanaomshauri Mh rais wapo na interest zao hasa kwa masuala ya per diem.“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
...
Out fit allowanceSio kweli kwamba ameokoa fedha, wanaomshauri Mh rais wapo na interest zao hasa kwa masuala ya per diem.
wameweza kumwingiza chaka kwa sababu Rais anatakiwa asafiri kwa ndege yake lkn kwa sababu inabeba abiria wachache wameamua kumdanganya kwa kuwa aghalabu ndege yake yenye kubeba abiria 18 kuna wengi wangeachwa kwenye msafara na ndio maana wanamdanganya wana save pesa lkn kwa idadi wa delagation ya watu 70 anaosafr nao ni dhahiri upo upotevu mkubwa wa fedha zinazolipwa kama per diem and accomodation.
Lakini kiusalama kwa kweli bado kusafiri na ndege binafsi si afya sana kwa mkuu wa nchi!!
Mama ajitazame!
Raha ya Tanzania kila mtu ni CAG na niwabobezi ktk ukaguzi wa mahesabu mixer (VFM)[emoji1787][emoji23]Tunaomba air ticket walizolipia tuzione. Over
SawaRaha ya Tanzania kila mtu ni CAG na niwabobezi ktk ukaguzi wa mahesabu mixer (VFM)[emoji1787][emoji23]
So what!“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.
Pia soma:
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji
View attachment 2127338
Hapo imepigwa zaidi ya 2BAngetumia Zoom angeokoa ngapi ?
Tupunguze matumizi ya muda kwa kusifia..., bora tuongeze muda kwa kuwa critical (ili watu wajirekebishe) au tupumzishe midomo yetu ili damu zaidi iende kwenye akili tuwaze kuboresha.....
Hata kama 10 Billion ni ndani ya budget yake au?Hapo imepigwa zaidi ya 2B