Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

Back to square one..!!! Unapoomba 20 ukatumia 15, effectively umepiga 5... Unless hiyo 5 uirudishe ulikoomba mkaipangie majukumu mengine kwa pamoja, muombaji na muombwaji... Lakini muombaji ukiitumia kwingine na huku muombwaji hajui, kwamba yeye anajua umeitumia kule ilikokusudiwa mwanzo, UMEPIGA. KWA SABABU hayo matumizi mapya una uwezo wa kuyaombea fedha tena na huku ulishayatimiza
 
Mbona hatuoni air ticket? onyesheni basi na siyo kuongea tu kwa mdono
Mimi nimeuliza kama kuna wakati alikodi ndege hadi Msigwa amsifie kwamba alipoenda France hakukodi ndege, wewe unaniuliza ticket. Wtf.

You’re barking at a wrong tree dog.
 
Hio ndege ya rais sidhani hata kama inafikia thamani ya mikataba alioingia waziri mpya wa nishati katika kipindi cha miezi 3 toka uteuzi wake😅!

Sioni maajabu yoyote ndege haiwezi vuka 100B Ata iwe nzuri kiasi gani
 
Uko sahihi pesa yote inatakiwa kutumiwa kwa mujibu wa maombi huwezi kuomba 20 kwa ajili ya chakula halafu ukatumia kwa ajili ya mavazi hapo ndio inakuja kazi ya mdhibiti wa mehesabu ya serikali kila matumizi yaoneshe na malipo yake na viambatanisho. kama ukipiga 5 ukasema ulitumia kwa chakula wakati sio kweli utaulizwa risiti na malipo yalifanyika lini na wapi kuna system. mtu anaweza kupiga cha juu tu ikiwa atamwambia muuzaji wa chakula nanunua kwako chakula ila nipe 10% cha juu au ufanye fake kila kila kitu risiti fake, malipo fake lakini mdhibiti wa serikali wana njia za kujiridhisha kitaalamu.
 
Embezzlement of funds... Mana yake fedha imetumika kwa matumizi yasiyokusudiwa na is a crime and it’s often considered a premeditated one.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…