Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

Onyesheni tiketi zake tuzione, sisi ndio waajiri wake...tumemwajiri kwa niaba. Mnaficha ficha vitu gani...hizo pesa sio za ukoo wenu peke yenu, ni za wananchi wote waishio Tanzania. Taarifa za Rais zinatakiwa kuwa wazi wananchi tujue haaaa!. Wanajibu kwa mafungu mafungu utafikiri wako sokoni wanauza nyanya wamesahau haya ni mambo ya kitaifa na wananchi wanatakiwa kujua kinachoendelea
 
Basi na humu ndani awe anapanda mabasi na daladala Ili aokoe Tena fedha nyingi SANA
 
Mbona hatuoni air ticket? onyesheni basi na siyo kuongea tu kwa mdono
Hahahahah na we tuonyeshe kwanza risiti ya malipo ya kukodi ndege kutoka emirate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…