Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

Una mimba ya Mbowe?
 
La msingi tupate katiba inayoendana na wakati maana sidhani kama katiba mpya inatafutwa ili chadema ichukue nchi bali inahitajika kwa manufaa mapana ya taifa.

Ila katiba mpya bila taasisi makini haiwezi kusaidia maana hata hii iliyopo kuna mambo mazuri yanakanyagwa kabisa makusudi
 
Ndugu yangu, nadhani kichwani mwako kuna mahali pameyumba.

Wananchi wanahitaji katiba mpya, siyo kwa kutaka CCM iendelee kutawala au CHADEMA, CUF, ACT kuweza kushika dola, bali kuhakikisha chama au kiongozi yeyote atakayepata nafasi ya kutuongoza, anatuongoza kwa namna inayofaa.

Wewe kwa sasa huna msaada wowote kwa Taifa, na huenda hata kwenye familia yako kwa sababu mawazo yako yanaishia kwenye kuta za vyama vya siasa. Fikra zako na maandiko yako, mara nyingi ni takataka, ni uchafu na yanatia kinyaa kwa sababu hakuna unachofikiri zaidi ya CCM na CHADEMA.
 
Kwani nchi hii ina hatimilki ya kutawaliwa na CCM tu? Jamani ee SIASA siyo chuki na mambo yanabadilika.

Nani alijua leo Mama Samia angekuwa na Rais na Jiwe asingelimaliza muhula wake wa pili? Tuende taratibu maana hakuna aijuaye kesho
 
Mami kinehe !!. Katiba mpya ya wananchi si kwa ajili ya chama fulani kuchukuwa madaraka. Ni kwa ajili ya wananchi kujiamulia mustkbali wao. Katiba mpya si kwa ajili ya uchaguzi tu . Tuna mapungufu mengi sana juu ya wananchi kujiletea maendeleo yao.

Kuna mambo mengi mengine yapo nje ya mada, lakini yanakwamishwa na katiba mbovu hii yenye elements za ki koloni. Mfano mamlaka ya Rais ya uteuzi inatakiwa idhibitiwe. Pili kitendo cha wananchi kuchaguwa watu wao, halafu hao hao wanakosa nguvu dhidi ya wateule wa Rais ni makosa . Mambo ni mengi . Toka nje ya box utaona mwanga
 
Ccm inalindwa na dola. Nothing else
 
Ila cut ya prof na nccr zits kamata na kijani itapoteza.
 
Chadema sio chama cha siasa, ni mob/mafia family.

Chama gani cha siasa kinaongozwa na kabila moja na mwenyekiti mmoja zaidi ya miaka 15 halafu wanataka demokrasia.

Hii nchi bora hata tumpe Mzee Hashim Rungwe kuliko Mbowe na chama chake.
Acha uongo. Haukusaidii
Cdm wale wa Mara ni wachaga ?!. Wale waliodhulumiwa Mwz 2015/2020 ni wachaga ?!. Je wale wa Ukerewe, Bukoba, kigoma, Arusha, Singida, Iringa, Mbeya, Dsm ñi wachaga tu ?!.

Kuhusu Mbowe kuwa mwenyekiti kwa awamu ya tatu ni sawa. Hebu angalia alieutaka uenyekiti dhidi ya Mbowe (Mwambe) alivyounga juhudi. Sasa wengine wanakuwa ni mapandikizi bora ubaki na Mbowe.
 
Kwani nia ya CHADEMA kutaka Tanzania iwe na katiba mpya ni kwa ajili ya wao kushika dola au kuweka mambo sawa sawa katika demokrasia??
Umeelewa tofauti dhamira ya Chama!!! Waulize vizuri ujibiwe.....
 
Hoja yako mgando!!! Katiba ni kwa ajili ya wananchiiii..... Jinga wewe....
 
Kwani nchi kupata katiba mpya ni kwa ajili ya wananchi au CDM?
Anayo hoja. Wanaoshadidia katiba mpya ni chadema wakiwa mahsusi kwenye mrengo wa kuleta fujo. Hili halivumiliki
 
Katiba Sio ya chama Bali ya watanzania na taifa.Anayeamini katiba ni kwa ajili ya vyama ni mjinga.Katiba ndo uhai wa taifa letu miaka mingi ijayo
Wewe ndio mjinga kwa sababu hujajibu hoja yake bali unajibu kwa kuwa ni chadema
 
Ahaaa, upo sawa, lakini mtazamo wa chama cha siasa chochote ni kukamata dola, Chadema wanajidanganya kuwa huwa wanashindwa uchaguzi sababu ya katiba iliyopo. Hapo nafikiri umenisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…