Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

Hii ndio wataalm wa siasa wanaita parochial view------ufinyu wa mawazo!
 
Kama alikuwa ameshakufa akawekwa siku zote hizo mkidhania atafufuka lakini hakupiga wala chafya. Maja kasema uongo wa msikitini mbele xa masheikh kuwa anachapakazi,kumbe mwendazake hayati. Na sasa kivuli cha mzimu ujingameko kinawafunika kudhania kwamba katiba ni faida ya CHADEMA,lakini katiba ni ya Taifa na Tume huru ya uchaguzi mwadhania ni faida ya vyama. Mwendazake alisema upinzani utakufa akafa yeye!

 
tatizo ya shule ndogo ndio hiki hapa, katiba ya nchi na chama cha siasa wapi na wapi ?mods tutoleeni hii upuzi tadhafalini.
 
Uwiiiiiii[emoji3][emoji3][emoji3] yaani ufipa hawawezi kukubali huu ukweli
 
Mkuu Kwisense ,huyu jamaa ni sukule la CCM. Kutwa kucha yeye ni CDM hivi,Mbowe that,Lissu this!!
Analipwa kwa kusimanga wapinzani.
Kwani si hua mnasema kuongea ni demokrasia sasa mbona unadhulumu demokrasia ya mwenzako ... Wacha aongee


[emoji3] Yaani ufipa mtu asiongee Ila nyinyi
 
A constitutional reform will ensure free and fair elections for all parties and the electorates. The reform will not be biased to any party. "Sijui unalielewa hili?"
 
Hilo lipo wazi kamanda, ishu ni kukamata dola.
Siasa yenye afya siyo lazima cha A au B kushika dola. Uhai wa vyama vya upinzani ni Afya kwa demokrasia na maendeleo ya nchi.
 
A constitutional reform will ensure free and fair elections for all parties and the electorates. The reform will not be biased to any party. "Sijui unalielewa hili?"
Reform ikishafanyika ndio mtakuwa na ushawishi kwa wananchi?
 
Mkuu mbona Mambo ya chadema yanakunyima usingizi,hakuna aliewahi shindana na chadema akabaki salama,
 
Jadili mada husika
Hakuna Cha kujadili,ya jirani mwachie mwenyewe, KWA utafiti upi umefanya kwamba chadema imepoteza dira KWA wafuasi wake?Alafu mipango ya chama na mikakati unataka iwe wazi ili iweje, mbona yatakua maajabu
 
Je, itawapa shavu kukamata dola?
Wewe uelewa wako kwenye mambo ya siasa ni mdogo sana. Siyo lazima kushika, uwepo wa vyama vingi ni afya katika maendeleo ya nchi. Juzi madam aliwaambia wabunge wenu "wanademka" hiyo yote ni kwa sababu hakuna ushindani bungeni, kwa nini wasidemke.
 
Wewe ni wa kupuuzwa!

Katiba mpya si kwa ajili ya CHADEMA kushika dola bali ni kujenga misingi ya haki na usawa na utawala bora wa nchi yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…