Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Kila ukitaja Big picture nakumbuka Kitabu cha Ben Carson anyway nje ya mada hiyo..
Mimi ni artist Big picture inatengenezwa na small details ambazo zikikaa in harmonic way zinatengeneza sasa huo muonekano ( kwa photos Wanaita pixels )

Huwezi jizuia kujadili details ndogo iki kuhalalisha mindset fulani.

Kama tatizo ni ideologies au mkono wa Mzungu kupitia ukoloni Ethiopia ilipaswa kuwa mbele kwa wenzake leo hii maana hajaathiriwa directly.

Asante kwa kunikumbusha kwamba mada ni Kutokuendelea kwa Africa.Sasa nikupe swali lingine nipe mchango wa Africa kwenye maendeleo ya teknolojia Duniani.
 
Hahaha!!! asee mkuu mimi sifahamu yote hayo..
But the point is nchi kama malasysia, singapore nk. tulikuwa the same level katika metrica za uchumi
naideology walizoweka.
Kwanini Usitumie huu muda Kusoma ( Najua nowdays textbooks zipo kila mahali) Kisha ukipata majibu urudi kuomba msamaha wazungu na uanze kufikiria namna ya kubadili mifumo na taasisi za nchi yako ukianzia Kwa familia hapo nyumbani?

Ni ushauri tu na nafahamu sio sheria.
 
Haya maandishi ungeandika kwa herufi kubwa ili kuweka msisitizo zaidi.
 
Kwanza ethiopia isingeweza kuendelea kama imezungukwa na mataifa yaliyochini ya ukoloni hiyo ndio
concept, ambayo Nkwameh Nkrumah aliiongelea baada ya kupata uhuru Ghana kwa haraka haraka nadhani
hata wewe unaweza kuona kwanini isingeendelea.
Mchango wa Africa kwenye maendeleo ya tachnolojia ni swali pana lakini kama
umesoma historia utaona ulipokuja ukoloni wazungu waliifanya nini technolojia ya Africa.
Lakini kama utaamua kwenda beyond zaidi utaona Kina plato, socrate na pythogorus na wengine wengi
wasomi wa zama hizo walienda misri kusoma na kujifunza.
Wamisri walijua duniani duara miaka mingi sana hata huyo mzungu aliyetoahiyo idea baada ya kutoka misr.
Mchango ni mkubwa na sipo biased na nilichokiisema kwa sababu ni habari za kunifurahisha kama muafrica
lakini that is the fact.
Msome yule dada aliyetimuliwa kama mkurugenzi IFM baada ya kuanza kuwa tibua wazungu.
 
Africa isingekuwa Wazungu kungekua na nchi 120 hapa Tanganyika hii inamaanisha tribal wars ingefanya ardhi yote iwe nyekundu Tazama wakulima na Wafugaji kule mvomero. Angalia mgogoro wa ziwa Nyasa.

Nikisoma The History of Tanganyika nikakutana na wars nikatazama Ngoni Migration ni bloodshed.....Hata cannibalism ilikuwepo....Leo naona mtu kajinyonga kisa superstition beliefs .Mwingine anataka kumuondoa Masai Ngorongoro kwa namna yoyote.

Sasa hii ni reflection ya The Africa before 15thC
 
Nachoweza kumuelewa hapo ni kweli kama zile tools za kuifanya Afrika izidi kuwa masikini wanatumia misaada. Misaada na mikopo wanajua huwa inadakwa juu kwa juu na watawala wa kiafrica kisha inarudi kufichwa kwenye bank za Ulaya na watawala wa kiafrica.Hii Ni principal ombaomba hawezi kuwa tajiri sababu anao uhakika wa kuomba.
 
Swali lilikuwa straight kabisa, mchango wa Afrika ktk teknolojia ya sasa ulimwenguni ni ipi? Ila naona majibu yako yamekuwa mengi, sema tumekuelewa mkuu.
 
Umeua sanaa
Everything is in perspectives when it comes to Africa, Afrocentric and Eurocentric have had this battle for years, Agrarian model of thinking has always been ahead of the others only to be beaten by other muscles in collective, The Sundiata, Sumanguruz and Mkwawa are no replica in this very contemporary diffusing world.

There is nothing like collective intergenerational living and thinking in africa, a mutating divide and rule is there to stay.

Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani x2.

The genesis for scramble is rooted from the Bible.

Education, technological transfer, independence, expansive critical and analytical thinking, pendulum socio-economic metarmophosis not any closer a success story for Africa.
 
Sasa mkuu naona Tunapiga story badala ya History Usijifanye unaona Ethiopia kipindi cha 15century kuja mbelw as if hakukua na watu pale.
Now nipe utofauti wa Ethiopia na the rest ipo hivi nikikukuta unapika uji ukazuia mimi kukuingilia jikoni haimaanishi wewe utaacha kupika uji wako hata kama nitakunyima kuni siku nikirud nitakukuta last stage niliyokuacha nayo ama mbele kidogo.
Utofauti wa Ethiopia na Tanganyika ni Upi mkuu
 
Lakini Jiwe na Gadafi walikiuka kanuni za asili hapa Mzungu ahusiki.
 
Duuh!!! haya siamini kama yana andikwa na mtu mwenye uelewa mpana.
Mbona kumekuwepo na empire nyingi kubwa.
Kamsome yuval noah harari kwenye Sapiens brief history of human kind.
Wazungu kaangalie ni nini kilichowafanya watu waishi kwa makundi na kwanini waungane.
 
Anadhani itakuwa hivyo miaka yote? Kwa sasa ni kweli ila Hali ilivyokuwa miaka 50 nyuma sio sawa na Sasa.

Mabadiliko yanakuja hata kama ni taratibu .
 
Safi huku ndipo tulipaswa kwenda na mjadala huu
 
Swali lilikuwa straight kabisa, mchango wa Afrika ktk teknolojia ya sasa ulimwenguni ni ipi? Ila naona majibu yako yamekuwa mengi, sema tumekuelewa mkuu.
Mchango mkubwa wa africa kwa sasa ni kutoa raw material.
 
Hii dhana za kutupiana mipira sio sahihi..
Ukweli ni waafrica wote tuna matatizo kwa sababu tumekua
kwenye jamii ya hovyo hovyo.
Ni nature, unafiki ubinafsi ndio chanzo cha waafrika wenzetu kuchukuliwa utumwani kwa kushindwa kusaidiwa na waafrika wenzao.
 
Mtu mweusi awe amezaliwa na kukulia ulaya eg wakina 2PAC,BIG na ukajumlisha na wa huku AFRICA sote TUMATAHIRA
 
Nilikisoma Mkuu na nafkiri ni nayo kwa library hapa....Tatizo lako ni moja Hujibu unaleta new fact hapa nikikujibu naendeleza mzigo wa maswali ambayo umeyapapasa tu.
 
Africa siyo masikini.

Umasikini unakuja kwa viwango vya kizungu na sisi tunataka kuwa wazungu. Masai ana ng'ombe 100, mbuzi kondoo. Anakula nyama, maziwa ila anaitwa masikini sababu analala kwenye kanyumba ka nyasi na hana smartphone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…