Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Shida ipo hapo
 
Kuna mzee mmoja alisikika akisema hii nchi ni tajiri watanzania tembeeni kifua mbele na kisha kufa papo hapo.
 
Kwa akili yako hapo ndio historia ilipoanzia!?
Huo mwaka sub saharan Africa ilikuwa na watu gan?
Nitajie na kitabu unachotumia kama reference twende sawa.
Kabla ya References...... Nilisema hilo swali nililiweka ili kufahamu mtu ninayeelimika naye....Sitakucheka japo nilipaswa kufanya hivyo....HUJUI History Na Archaeology vinginevyo usingekuja kichwakichwa hivi.....

History imejikita kwenye Written documents sana Oral tradition (haiaminiki inachange sana) Sasa discovery ya Writings ndo mwanzo wa History beyond Hapo hiyo ni archaeology na ni independent Academic discpline.

Back to your question Ili kujua kilichotokea mwaka fulani kihistoria utahitaji Oral tradition na Written documents ku support....Haya sasa Hao wakaazi wa miaka hiyo walikua na written docs jibu hawakua nayo so tufanyaje sasa?
Tunageukia archaeology ambapo tutadig na excavate ili kupata kitu cha kusupport orar histories

Now
Between 2500 and 3000 years ago, Bantu-speaking peoples began a millennia-long series of migrations eastward from their homeland around southern Cameroon.
Hii itasupportiwa na archeological interpretation of artifacts.
Finally tutatazama theory evolution of Man..Where According to both genetic and fossil evidence, it has been posited that archaic Homo sapiens evolved into anatomically modern humans in the Horn of Africa around 200,000 years ago and dispersed from there.[29][30] The recognition of Homo sapien idaltu and Omo Kibish as anatomically modern humans would justify the description of contemporary humans with the subspecies name Homo sapiens sapiens

NB: Sasa uwe Mwelewa Haya mambo yape muda Yasome deep ili next time iwe rahisi kuchuja vitu
 
Historia ilianzia 3100bc?
Uko comfortable kabisa unaandika ujinga huo?
Historia ya tuition haitakusaidia hapa, form five shule zifunguliwe mapema.
 
Sihitaji ni kufahamu.
uliposema mwanzo wa historia ni 3100 bc nimeshakufaham tiali.
tiali - TAYARI Unaonekana bado upo kwenye early 20s Kijana.

Narudia tena Kuna tofauti kati ya History na Archaeology kama Academic matters japo zote zinalenga kuspeculate Human Past.
Kama hujui jifunze.
 
Aliyeandika mwanzo wa historia ni 3100bc sio wewe?
Au mko wawili mnatumia id moja?
 
Historia ilianzia 3100bc?
Uko comfortable kabisa unaandika ujinga huo?
Historia ya tuition haitakusaidia hapa, form five shule zifunguliwe mapema.
Yaelekea Unafanya History na Pengine upo Advance or Chuo mwazo mwanzo.....
Hujakutana na Mambo mengi pengine your time is not yet Sasa ni kama mtoto mchanga kulishwa Ugali.
 
Ulikuwa unawaza nini kuandika historia ilipoanzia?
 
Aliyeandika mwanzo wa historia ni 3100bc sio wewe?
Au mko wawili mnatumia id moja?
Jaribu kuuficha ujinga wako basi kama kubadilika hutaki.
👇👇👇
Ancient history is the aggregate of past events[1] from the beginning of writing and recorded human history and extending as far as late antiquity. The phrase may be used either to refer to the period of time or the academic discipline.

Sasa Watu wameanza kuandika lini?

The span of recorded history is roughly 5,000 years, beginning with the Sumerian cuneiformscript, with the oldest coherent texts from about 2600 BC.[2] Ancient history covers all continents inhabited by humans in the period 3000 BC – AD 500

Kijana JamiiForums ni watu na sio wote Tutakubali kuona ukanjanja hapa ndani ukiingia kwenye field ya watu hakikisha unakua Vyema kichwani Vinginevyo kua Msomaji tu inatosha kama hutaki kujifunza ama kufundishika.
 
Haya nimekujibu hapo juu.....Na from now on Twende man to man naweka swali wewe weka jibu weka swali mimi niweke jibu....
Tuwekane sawa kwanza umesema umerudi historia ilipoanzia..
Umemnukuu nan aliyesema historia imeanzia 3100bc na reference ip?
Bado sijajiridhisha kama wewe sio form five kweli.
 
Wazungu ndio wamekufanya uamini kwamba wewe ni maskini wa akili tangu hawajakutawala, lakini kiukweli ni kwamba akili unayo, lakini wamecheza na sayansi kuweza kukufanya uamini kuwa huwezi kufanya kitu.
Ukiweza amka mkuu, maana hii ni vita.
Naona tunatoa majibu simple katika ishu zinazohitaji umakini mkubwa.
 
tiali - TAYARI Unaonekana bado upo kwenye early 20s Kijana.

Narudia tena Kuna tofauti kati ya History na Archaeology kama Academic matters japo zote zinalenga kuspeculate Human Past.
Kama hujui jifunze.
Usihamishe magoli bhana...
before 3100bc hamna historia?
Naomba reference zako unazocopy na kupaste.
 
Yaelekea Unafanya History na Pengine upo Advance or Chuo mwazo mwanzo.....
Hujakutana na Mambo mengi pengine your time is not yet Sasa ni kama mtoto mchanga kulishwa Ugali.
Humjui hata Yuval noah harari.
historia ipi unasoma?
 
Tuwekane sawa kwanza umesema umerudi historia ilipoanzia..
Umemnukuu nan aliyesema historia imeanzia 3100bc na reference ip?
Bado sijajiridhisha kama wewe sio form five kweli.
Kiingereza kwako ni changamoto?

The span of recorded history is roughly 5,000 years, beginning with the Sumerian cuneiformscript, with the oldest coherent texts from about 2600 BC.[2] Ancient history covers all continents inhabited by humans in the period 3000 BC – AD 500
 
Ili tuendelee ni lazima tubinafishe uongozi kwa kuajiri watalaamu wa kutuongoza toka nje, miradi yote tuwape wao waendeshe sisi tubakie kwenye kupokea pesa.
Hata pesa tusipokee, umewaza vyema sana.
 
Umesema historia imeanza 3100bc...
Naomba reference yako kitabu kinaitwaje ulichosoma na ukurasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…