Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Hivi unajua kwamba siku hizi pale Mecca kuna bonge la Club na Cassino? Na kila mwaka wasanii wakubwa kutoka Marekani huwa wanakwenda kupiga bongo la shoo tena in public?Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
Mkuu tafautisha nchi ya Saudia na miji mitakatifu ya Mecca na Madina na miji mingine ya nchi ya Saudia.Hivi unajua kwamba siku hizi pale Mecca kuna bonge la Club na Cassino? Na kila mwaka watu wasanii wajubwa kutoka Marekani huwa wanakwenda kupiga bongo la shoo tena in public?
Wewe mtawala wako ni nani?uislam umtawale nan?
Mkuu, siku hizi Mecca ni kama Miami tu. Wakina Neyo, Chriss Brown, Amber Rose na wengineo hawapungui kwa safari za hukoMkuu tafautisha nchi ya Saudia na miji mitakatifu ya Mecca na Madina na miji mingine ya nchi ya Saudia.
Mji mkuu Riyadh ndio makao makuu ya nchi na ni mji wa kimataifa ndio utakuta balozi mbalimbali zinapatika hapo pengine hizo club na casino zinapatikana(sio kweli) ila mji wa Maka mambo ya kishetani hayaruhusiwi! na hata makafiri hawaruhusiwi(wasiokua waislamu)kuingia Maka.
Unaposema ni msikiti mtakatifu kwa waislam usifikiri na wao wanajali hilo, mambo ya mtume hawana habari nayo wanataka hekalu lijengwe hapo.Mkuu tafautisha Msikiti wa AYODHYA uliovunjwa na makafiri wa kihindu na msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa wapili kwa utakatifu kwa waislam. Al-Aqsa ukivunjwa wallahi Israel itachimbika!
Mpaka jua kuzama kwenye tope haijabadilika mpaka leo?Mkuu ujue pia, kilichoandikwa kwenye QURAN TUKUFU(MSAHAFU MTAKATIFU)hakiwezi kupadilika na itatokea kama kilvyo bainishwa na ALLAH. kwa vile Quds(Jerusalem) ni mji wa kiislam na AL-AQSA ni pahala takatifu na msikiti mtakatifu wa waislam!
Iran mzinguaji wala hana uwezo wa kuingilia hiyo vita. Sema katika Uislam lazima ije vita ya Myahudi na Muislam,Vita ya 3 itaanza endapo China Na Urusi Na Korea wataona Kuna faida kuingilia...ila wakikaa kimya labda Iran Na Israel Tu ndo kutatokea mtafaruku ila wengine waliyobaki wataweka mikia katikati ya miguu
Misahafu yenyewe imebadilishwa badilisha kinyama...Kuna maverse Allah aliyashusha leo hayamo hata kwenye Quran...Quran zenyewe zipo kibao Na zinatofautiana kinyamaMkuu ujue pia, kilichoandikwa kwenye QURAN TUKUFU(MSAHAFU MTAKATIFU)hakiwezi kupadilika na itatokea kama kilvyo bainishwa na ALLAH. kwa vile Quds(Jerusalem) ni mji wa kiislam na AL-AQSA ni pahala takatifu na msikiti mtakatifu wa waislam!
Tupe ushahidi wa hili.Misahafu yenyewe imebadilishwa badilisha kinyama
Tuletee hizo verses pamoja na ushahidi...Kuna maverse Allah aliyashusha leo hayamo hata kwenye Quran
Tuoneshe hzo Qur'an tofauti,, pamoja na ushahidi......Quran zenyewe zipo kibao Na zinatofautiana kinyama
Kwani ni Kwa asilimia ngapi unahisi nachosema Ni uongo?Tupe ushahidi wa hili.
Tuletee hizo verses pamoja na ushahidi
Tuoneshe hzo Qur'an tofauti,, pamoja na ushahidi...
If you assert a claim without valid proof, then it is considered void
Kuna sehemu nimeandika ulichosema ni uongo ?Kwani ni Kwa asilimia ngapi unahisi nachosema Ni uongo?
Kwahyo hau doubt nilichosema?Kuna sehemu nimeandika ulichosema ni uongo ?
Kwani mtu akiuliza ushahidi maana yake nn ? Ana doubt au hana ? Mbona unauliza maswali ya kitoto!!Kwahyo hau doubt nilichosema?
Kuuliza sio ujinga....sijui kama ana doubt au Hana..au wewe unasemaje mwalimu?Kwani mtu akiuliza ushahidi maana yake nn ? Ana doubt au hana ? Mbona unauliza maswali ya kitoto ?
Kwani nikiwa nina doubt au Sina, je, hilo litaondoa burden ya ww kutuletea ushahidi wa uzushi wako ?Kuuliza sio ujinga....sijui kama ana doubt au Hana..au wewe unasemaje mwalimu?
Ahaa kumbe Ni uzushi?Kwani nikiwa nina doubt au Sina, je, hilo litaondoa burden ya ww kutuletea ushahidi wa uzushi wako ?
Kwani kutaja asilimia kunahusiana vp na ww kutuletea ushahidi ? ..Ahaa kumbe Ni uzushi?
Okay kabla sijaprove niambie Ni Kwa % ngapi unahakika Ni uzushi?
Mbona swali simple Tu? Mimi ndo nna Kazi kubwa wewe Ni kuweka asilimia Tu Mimi nashusha maproof
Ntajua Ni Kwa % ngapi nahitaji kukuconvinceKwani kutaja asilimia kunahusiana vp na ww kutuletea ushahidi ? ..
Kwani mm nimesema nataka uni-convince ?.... Kukubali au kutokukubali hilo ni juu yanguNtajua Ni Kwa % ngapi nahitaji kukuconvince
Siyo kweli unayoyasema labda iwe nje ya hapo..! Aneo hilo hata asiyekuwa muislam haruhusiwi kuingiaHivi unajua kwamba siku hizi pale Mecca kuna bonge la Club na Cassino? Na kila mwaka watu wasanii wajubwa kutoka Marekani huwa wanakwenda kupiga bongo la shoo tena in public?