MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Huyo Mzee kachokoza nyuki Afu akatoka nduki. Acha ziwangateWakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini ?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Akiibuka msije kusema anachonga sana
Ni msimamo wa Mbowe, Lissu na n.k isipokua msimamo wa God bless Lema!Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini ?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Naunga mkono hojaTatizo sio mkataba pekee wala maridhiano.
Tatizo wananchi hawana tena imani na viongozi wao hasa kiongozi mkuu wa nchi. Ikipigwa kura leo hii ya kutokuwa na imani naye, utakubaliana nami!
Mbaya zaidi wakongwe wengi wanaoaminiwa na wananchi wamekaa kimya.
Unadhani Samia kaamua yeye kufanya hayo?Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Akiongea mtaanza yeye ndo mshika remote. Akikaa kimya mnaleta manenoWakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Bora aongee hivyohivyo kuweka rekodi sawaAkiongea mtaanza yeye ndo mshika remote. Akikaa kimya mnaleta maneno
Nchi hii tatizo la afya ya akili ni kubwa sana kwa kweli
msimamo gani tena unauuliza usioujua.Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Ukumsikia Rostam Aziz majuzi?huo ndiyo msimamo wa Ufalme wa Msoga.Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Acha kujidanganya. Samia hadi 2030 hilo halina mjadala utake usitake.Tatizo sio mkataba pekee wala maridhiano.