Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣aisee sina hamu na hilo jibu🤣🤣Unamfahamu vizuri JK, au unamsikia? Kama humfahamu, basi fuatilia kwa umakini kauli aliyowahi kuiyoa wakati wa sakata la Escrow! Yaani wakati wananchi wanahoji iwapo hela za Escrow zilikuwa ni za serikali, au watu binafsi!!
Majibu yake ndiyo yatakupa picha halisi ya aina ya mtu unaye mfikiria.
Ccm oyeeeeeKila Mwenye kadi ya Ccm anaunga MKONO.
Tamko lilimtoa pangoni atakuwa anaunga mkono mkatabaRais Mstaafu Jakaya Kikwete mbali na kukemea kuchanganya dini na siasa vipi Je kuhusu hoja ya mkataba wa Bandari yeye yuko upande gani? anaunga mkono mkataba au anapinga mkataba na nini ushauri wake kama Mstaafu kuhusu suala la Mkataba wa Bandari.
Makamu wa Rais Philip Isdoli Mpango hajagusa kabisaaaaaa,anajibaraguza na madawati ya shule.Ukiona Mtu Yupo Kimya kwa hoja za Kwenye Mkataba, Lkn anaongelea vitu vingine ujue huyo anaunga mkono....
Kwenye Kundi hili wapo...
Jk
Zito
Jenerali Ulimwengu
N.k
Hawa sijawasikia na ukiwasikia basi wanajikita kwenye kukemea udini, matamshi yenye hisia au jazba n.k...
Vifungu kandamizi Kwenye Mkataba wananyuti kimya
Yule anaakili kubwa SANATamko lilimtoa pangoni atakuwa anaunga mkono mkataba
Anaunga ndio maana baada ya waraka akatoka uvunguniWakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Hana AKILI yoyote anaunga mkono mkataba periodYule anaakili kubwa SANA
KUSEMA VILE AMEEPUSHA MAKUBWA SANA KWA UPANDE WA PILO
Kuna mtu anafata katiba tangu lin tz[emoji1][emoji1]Kwani lazima awe n msimamo? Au katiba inasemaje kuhusu ilo?