Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaojua msimamo wa jk na kinana kwenye hill bandari ni ki
100% right.Msimamo wa Samia ndio wa JK na Kinana
Upumbavu wa selikali zao unalingana
Sa nyie mnauliza majibu badala ya maswali thread itaacha kufutwa, sawa na kuuliza kama kuna wajawazito kwenye word ya wazazi!Kuna thread yangu umefutwa sasa hivi...nimeuliza kitu..kama hiki
Wala haiko hivyo..Sa nyie mnauliza majibu badala ya maswali thread itaacha kufutwa, sawa na kuuliza kama kuna wajawazito kwenye word ya wazazi!
JK na Kinana ndo madalali wa dii pii weld, umesahau Jk ndo mwenye rimoti?!.
Nimesikia piaWala haiko hivyo..
JK na Samia wamegombana..
Hatujui sababu..
......Wala haiko hivyo..
JK na Samia wamegombana..
Hatujui sababu..
Kama unamjua, wala huna haja ya kusikia neno lake.Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Azidi kujikaanga na mafuta yake mwenyeweBora aongee hivyohivyo kuweka rekodi sawa
una clip you tube inasambaa mitandaoni wataja porini au msituni hiviAcha kujidanganya. Samia hadi 2030 hilo halina mjadala utake usitake.
Kikwete hauRais Mstaafu Jakaya Kikwete mbali na kukemea kuchanganya dini na siasa vipi Je kuhusu hoja ya mkataba wa Bandari yeye yuko upande gani? anaunga mkono mkataba au anapinga mkataba na nini ushauri wake kama Mstaafu kuhusu suala la Mkataba wa Bandari.
Yaani unauliza kama kuku huwa anataga mayai!! Wenye akili zao watakuambia hatujui!!Rais Mstaafu Jakaya Kikwete mbali na kukemea kuchanganya dini na siasa vipi Je kuhusu hoja ya mkataba wa Bandari yeye yuko upande gani? anaunga mkono mkataba au anapinga mkataba na nini ushauri wake kama Mstaafu kuhusu suala la Mkataba wa Bandari.