My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Yuko kwa waadzabe anawapa habari njema za DP world, endelea kusubir atakufikia na ww mkuuKwa hali ilipofikia katika sakata hili la DP Wprld, kuna haja ya kumuomba mzee wetu Jakaya Mrisho Kikwete atoe kauli juu ya hili.
Kwanini mzee Kikwete?
1. J. K anashikilia rekodi ya kuwa ndiye rais mwanademokrasia kuliko wote Tanzania atoe kauli kuhusu hili.
2. J. K ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika nchi hii.
Pengine kauli yake itaheshimiwa na akina Tulia Ackson anayewadharau wazee.
Muhimu zaidi tunataka kujua mzee J. K Kikwete yuko upande gani katika sakata hili.