Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?
Hakuna Kitu GENTAMIYCINE nachukia kama Mtu kuwa Mnafiki na kutokuwa na Msimamo au Maamuzi ya mwisho.

Kama GENTAMIYCINE nimesema na kuchukua upande wa kutaka Uwekezaji wa DP World na Bandari zetu uje na Ukubalike Tanzania kwanini Wewe ( Rais Mstaafu Kikwete ) kila ukihojiwa kwa Kutegwa Maswali na Waandishi wa Habari Kisaikolojia na hata kwa 'Body Language' yako tu unaonyesha nawe unawataka DP World ila ukijibu Unazungukazunguka na kuwa na Siasa nyingi na Kiswahili kingi?

Ndiyo maana sikuwahi Kukukubali na huwa nawashangaa mno Watanzania ambao kwa Akili zao fupi huwa wanakusifia na kusema ulikuwa Bonge la Rais wakati si kweli.
 
Kwanza haimuhusu wakati mkapa anabinafsisha vitu vya serikali alipingwa au aliingiliwa maamuzi yake, ye kamaliza muda ale bata za uzee tu, waandishi wa habari wanatafuta neno hapo.
 
Hakuna Kitu GENTAMIYCINE nachukia kama Mtu kuwa Mnafiki na kutokuwa na Msimamo au Maamuzi ya mwisho.

Kama GENTAMIYCINE nimesema na kuchukua upande wa kutaka Uwekezaji wa DP World na Bandari zetu uje na Ukubalike Tanzania kwanini Wewe ( Rais Mstaafu Kikwete ) kila ukihojiwa kwa Kutegwa Maswali na Waandishi wa Habari Kisaikolojia na hata kwa 'Body Language' yako tu unaonyesha nawe unawataka DP World ila ukijibu Unazungukazunguka na kuwa na Siasa nyingi na Kiswahili kingi?

Ndiyo maana sikuwahi Kukukubali na huwa nawashangaa mno Watanzania ambao kwa Akili zao fupi huwa wanakusifia na kusema ulikuwa Bonge la Rais wakati si kweli.
Mzee wa msoga huyo.

Watanzania humtizama kama Rais kivuli katika awamu ya 6
 
Hakuna Kitu GENTAMIYCINE nachukia kama Mtu kuwa Mnafiki na kutokuwa na Msimamo au Maamuzi ya mwisho.

Kama GENTAMIYCINE nimesema na kuchukua upande wa kutaka Uwekezaji wa DP World na Bandari zetu uje na Ukubalike Tanzania kwanini Wewe ( Rais Mstaafu Kikwete ) kila ukihojiwa kwa Kutegwa Maswali na Waandishi wa Habari Kisaikolojia na hata kwa 'Body Language' yako tu unaonyesha nawe unawataka DP World ila ukijibu Unazungukazunguka na kuwa na Siasa nyingi na Kiswahili kingi?

Ndiyo maana sikuwahi Kukukubali na huwa nawashangaa mno Watanzania ambao kwa Akili zao fupi huwa wanakusifia na kusema ulikuwa Bonge la Rais wakati si kweli.
Tunawahtaji DP World mkuu ila sio kwa mkataba ule.
 
wewe jamaa ni mtekenyaji
 
Mwache The Don atulie ale Bata,we komaa na SSH
 
Shauri yako,wakikunasa
 
Back
Top Bottom