GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #81
Umeshaona 'Myahudi' anaogopa Vita?Sasa usilielie unapopambana.
Sasa ni muda mwafaka wa kuleta majibu.
Jibu swali langu. Usipojibu wewe ni mshenzi tu kama washenzi wengine.
Kama umeona sijaanzisha Uzi kuwahusu hao Mbeya City wako Wewe umeshindwa Kuwaanzishia ili Uchangiwe?Mwana michezo gani ambaye statistics zako zina base kwenye timu mbili pekee?
Mbona mbeya kwanza hujawahi waanzishia uzi kuwasifu uchezaji wao pamoja na kufunga goli bora ambalo nahakika wangefunga yanga ungeandika uzi?
Naona Umaarufu wangu na 'Natural Charm' yangu vinakutesa sana Wewe na Fools Wenzako mnaofanana hapa.Mzee umeishiwa. Unachoweza ni maneno ya mipasho tu. bahati nzuri na wewe mama unaye, hujazaliwa na mbwa.
Vipi wa kwako dish halijayumba!?
Sasa kama umeshajua Mimi Mjinga unachohangaika na huu Uzi wangu mpaka unauchangia ni nini? Nikikuita Mpumbavu nitakuwa nakosea?Wewe unajaribu kuwa nazo lakini wapi, bado tu ujinga wako uko pale pale.
Uzi wangu mbovu lakini bado unaendelea Kuukodolea mpaka ma Kuuchangia. Nikisema Ubongo wako umejaa Uharo Mbichi nitakuwa nakosea?Labda ki-panga kidogo cha kukatia gogo. But ukweli ni kwamba;
Umechemsha mwanangu katika uzi huu.
Jipange upya. Na unaendelea kujidhalikisha tu. Umevuliwa nguo chutama Mzee.
Uchambuzi wako huu unaonesha namna kichwa chako kilivyo empty.
Nakushauri:-
Jitahidi kukaa na watu wenye akili kubwa kama mimi ili kidoooogo ujifunze universe inavyo operates.
HAPA UNATULETEA MIPASHO TU.
Ninapoisifia Simba SC ( yako na yangu ) 24/7 hapa JamiiForums huwa unajitokeza ( mnajitokeza ) Kunishukuru au hata Kunipongeza tu? Mnafiki mkubwa Wewe na Wanafiki wakubwa nyie.KMC wanashika mkia kwenye msimamo, na Kama hicho ndio kigezo ulicho tumia kupima kiwango Cha yanga kuupiga mwingi Basi gentamycine umefeli kwa kiwango Cha sifuri kubwa yenye masikio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
Kwahiyo anayejua kuwa Mada imeanzishwa na Kichaa na bado akaacha Shughuli zake na kuja si tu Kuisoma bali hata Kuichangia kama unavyoichangia sasa nani ni Kichaa zaidi na Mpumbavu Mwandamizi?Kuanzisha mada hata kichaa anaweza, sembuse wewe kidogo dish linakamata channels mbili tatu hivi.
Bahati nzuri nililitegemea, nimeshawaandalia Majibu yao 'Mujarab' ambayo wameshaanza 'Kuyakoga' na wengi wao wananijua Moto wangu katika Vita ya maneno ambayo bado sijaona wa Kushindana nami hata wakiwa 100 na Mimi nikiwa hivi Jeshi la Mtu Mmoja kama Kawaida yangu.Umeongea point tupu,ila mashabiki wenzio wa simba unawafahamu na humu wamejaa tele. Watakujia na maneno ya kejeli na kukubishia
Utahaira anaoumwa aliyekuzaa umepona?Utadhani Anaumwa kisukari dogo πππππ
Nianzishe uzi kwani wapi umeniona nikijigamba kua ni mwana michezo?Kama umeona sijaanzisha Uzi kuwahusu hao Mbeya City wako Wewe umeshindwa Kuwaanzishia ili Uchangiwe?
Unamshangaa GENTAMYCINE kuchambua tu Simba na Yanga mbona hushangai Redio zote za Tanzania na Magazeti yote 100% ya Contents zao ni Simba na Yanga?
Pumbavu.....!!!
Mkuu wasikusumbue hata wana Simba SC wote waliopo hapa JamiiForums wakiungana na Kuanzisha Vita vya maneno nami hawaniwezi na yawezekana wengi wao wa sasa ni Wageni na Mimi hivyo ni vyema wakawauliza 'Magwiji' waliopambana nami hapa na bado walinishindwa na wengi wao wakaona sasa ni bora wawe tu na Urafiki nami na sasa tunaheshimiana.Ila mikia bana sa hamtaki mtu aandike kile anachokiona yeye. Khaaa.
Mana mnatamani mummeze Genta wa watu. Lol
What a poor reasoning and argument from you Nut.Mtoa mada usisahau hao yanga kipindi cha zahera walishinda mechi 18 mfululizo na mwisho wa siku wakachukua kikombe cha kahawa tu. Wala usiogope huo mpira wao hamna kitu. Hapo.
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Kwani Timu bora haiwezi Kutolewa Mashindanoni? Vilabu vikubwa huko Ulaya tena vyenye Usajili wa maana huwa havitolewi round za awali tu kama ilivyotokea kwa Yanga SC?Hivi ndumba huwa hazifanyi kazi kwenye mechi za kimataifa?
Kweli timu yaonekana nzuri, lakini mbona wameaga mapema sana!?
Mashabiki wengi wa Simba wanapenda timu na si mchezo wenyewe. Mleta Uzi Ni mpenzi wa mchezo tofauti na hao oya oya.Ila mikia bana sa hamtaki mtu aandike kile anachokiona yeye. Khaaa.
Mana mnatamani mummeze Genta wa watu. Lol
Pumbavu Afrika Kusini wana Redio yao moja Kubwa na Maarufu mno ya Metro FM je, umeshajiuliza ni kwanini pamoja na kwamba Ligi Kuu yao ya PSL ni ya Kitajiri, Kubwa na Maarufu lakini 99.9999% ya Content yao huwa ni Orlando Pirates, Kaizer Chiefs FC na Mamelodi Sundowns?Nianzishe uzi kwani wapi umeniona nikijigamba kua ni mwana michezo?
Media kuwa na contents 100% za yanga na simba zimekufanya nawewe uwe kama mwanamke malaya unafata meza yenye bia nyingi siyo?
Akhsante na nashukuru kwa Kulijua hili.Mashabiki wengi wa Simba wanapenda timu na si mchezo wenyewe. Mleta Uzi Ni mpenzi wa mchezo tofauti na hao oya oya.