kuna babes chache ambazo hazipendi kusifiwa ila nyingi zinafurahia na kuanza kujiwekea class like flani haniwezi au mimi sio level za flani wakati kiuhalisia alitakiwa kuwa normal tuNo wapo smart ila mimi sio muumini sana wa wanawake kusifiwa kwa mambo madogo, tukifurahia hilo tutalemaa.
Hivi haujawahi kuchunguza kuwa wadada tunapewa sifa za upuuzi kwa vitu vya kawaida ambavyo wanaume wakifanya ni kawaida tu? Hii hali inalemaza babes.
ok nimekupataInawezekana kabisa wala haina mjadala. Na ukiona hivyo kesi ya Lisu haina mashiko
Huo sijaupitiaNo sio uzi wa mshana, uzi naouzungumzia ni wa siku nyingi huko, zile nyuzi zinaanzishwa watu wanaanza kutajana.
Na imekuwa hivyo kweli mkuu. Tayari wameishalala mbele. Ngoja tuone huko Ulaya watakaa miaka mingapi. Kmmammae zao!Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Duh...!,jf siku hizi,kila mtu humu ni Sheikh Yahya.Msishangae wakuu wa majeshi wakapanga safari kukimbia kesi ya Lissu. Watasema wamesafiri kikazi! siku kumi na nne za kesi zikiisha wajipe muda zaidi maana hawataweza kujibu maswali
Ni sawa lakini tukaze, wanaume wako smart kweli kweli hawatanii, na wanawake pia, ila wanawake wanasifiwa sana wanarelax, hatujielimishi tunabaki tupo tupo tu.kuna babes chache ambazo hazipendi kusifiwa ila nyingi zinafurahia na kuanza kujiwekea class like flani haniwezi au mimi sio level za flani wakati kiuhalisia alitakiwa kuwa normal tu
naungana na wew wapo wengi na wachache ambao ni smart hilo halipingiki😊
Kuna vitu vingine vinahitaji common sense tu mkuu. Katika hali ya kawaida, haiwezekani mashahidi wote wakawa wamesafiri kwa wakati mmoja. Hii ni mbinu ya kishetani iliyobuniwa na CCM dhidi ya Lissu.Duh...!,jf siku hizi,kila mtu humu ni Sheikh Yahya.
P
Wapigaje tupu. Hawana weledi wowote, lazima wakimbie kuhojiwa.Watawala wa hii nchi mienendo yao inataborika kama movie ya kibongo..
Ina maana kwamba wana uwezo mdogo wa kiakili.. wengi waliopo kwenye uongozi ni kwa sababu ya uchawa, rushwa, undugu, mahusiano...
Duh...!,jf siku hizi,kila mtu humu ni Sheikh Yahya.
P
Masuala ya babes pelekeni huko chit chat.kuna babes chache ambazo hazipendi kusifiwa ila nyingi zinafurahia na kuanza kujiwekea class like flani haniwezi au mimi sio level za flani wakati kiuhalisia alitakiwa kuwa normal tu
naungana na wew wapo wengi na wachache ambao ni smart hilo halipingiki😊
Kingai hajawahi kupanda kizambani, yeye huwa anatunga kesi anasakizia wenzie. Hawezi kutokea maana anajua udhaifu wake utaonekana hata kwa staff wake na wenzake.Katika watu wenye Experience ya Mahakama ni Kingai kwa sababu ni Kachero wa mda mrefu hapa labda useme CDF na DGTISS
hiyo babes imetumika kama m badala wa "mwanamke",, nitolee kisukari basiMasuala ya babes pelekeni huko chit chat.
Mshaingiza babes kwenye Uzi usiohusika
Wanawake wanahusika vipi na wakuu wa majeshi kukimbia ? Zaidi ya kujaza thread tu kenge nyinyihiyo babes imetumika kama m badala wa "mwanamke",, nitolee kisukari basi
sijui matusi yanakusaidia nini kwenye maisha yako,, easy broWanawake wanahusika vipi na wakuu wa majeshi kukimbia ? Zaidi ya kujaza thread tu kenge nyinyi
Ulitegemea tofauti na hivyo kwa hao mashahidi wa serekali? Hata huyo Samia, Mpango na Majaliwa wamekwepeshwa tu lakini ndio wahusika wakuu. Na huo ni mwanzo tu, ingewezekana hiyo kesi iende ICC ndio watu wangejua matumizi mabaya ya madaraka ni nini.Duh...!,jf siku hizi,kila mtu humu ni Sheikh Yahya.
P
Umekariri eti vyeti ndo vinaleta maendeleo. Ila msisahau ht mgombea mwenza wa CHADEMA alikuwa la 7.Tutajua nchi haendelei kwa sababu tunaongozwa na viongozi walioishia la saba b.