SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Unaelewa maana ya Uwakala?Wapi na wapi ulishasikia wakala wa barabara anatengeneza kiwanda cha sukari?
Jiwe ndio nani? Kama kweli jibu lako liwe na mshiko, kwanini usitaje jina? Ameficha wapi? una Taarifa zingine mbadala na za Mkaguzi mkuu?Jiwe alikuwa anapiga kupitia tanroads
Kama ni hivyo, mapesa mengi, sasa yamewekwa wazi, na una uhuru , una uthubutuKwani ile trillion 1.5 ilikwapuliwa na awamu ile ilikuwaje?
Kipindi kile hakukuwa na mwenye uthubutu wa kuweka mambo wazi
Kila kitu kitakua wazi
Ningependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.Mbona mnakuwa kama watoto wadogo?
Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.
Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Wanahangaika sanaNingependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.
Alizopiga ameficha wapi?Jiwe alikuwa anapiga kupitia tanroads
Unamaanisha CCM?Ningependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.
Haisaidii kwa sababu ashakufa na hawezi kufikishwa mahakamani...Jiwe ndio nani? Kama kweli jibu lako liwe na mshiko, kwanini usitaje jina? Ameficha wapi? una Taarifa zingine mbadala na za Mkaguzi mkuu?
Umesikia wapi hayo uliyoyabandika?
Kashakufa hata nikikwambia haisaidiiAlizopiga ameficha wapi?
Chama cha Sukuma Gang.Ningependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.
A stone? That is always in a static state? Help me to understand?Haisaidii kwa sababu ashakufa na hawezi kufikishwa mahakamani...
So i can't help you and thrre is nothing you can do about it.
Wewe unawaogopa ccm wenzako hapo ndipo unafiki wenu ccm unapojionesha, wanaoleta hizo ngonjera za wizi wa awamu ya 5 sio chadema, kama wapo ni wachache sana wengi wao ni wafuasi wa team msoga ,lakini wewe hauwezi kusema "team msoga wana upuuzi mwingi" hapo ndipo kwenye unafiki wako.Hata Lowassa walimsingizia hivyo hivyo.
Chadema wana upuuzi mwingi!
Mimba ya CHADEMA inakutesa...Hata Lowassa walimsingizia hivyo hivyo.
Chadema wana upuuzi mwingi!
Alete huo ushaidi wa 1.5 t nanu aliichukua na iliondokake ondokaje unadhani trillion moja nukta tano ni sawa na buku tano[emoji23][emoji23][emoji23]Na CAG aliyeibua wizi wa Tshs 1.5 Trilioni naye mpuuzi au siyo?
Ujinga mtupu, sasa huyo jiwe yupo? Nini kinashindikana kuwachukulia hatua hao waliopiga.Jiwe alikuwa anapiga kupitia tanroads
Ushahidi uko serikalini, ripoti ya CAG.Alete huo ushaidi wa 1.5 t nanu aliichukua na iliondokake ondokaje unadhani trillion moja nukta tano ni sawa na buku tano[emoji23][emoji23][emoji23]
Ungekuwa na akili ungejua eingi wa hizo t1.5Lisilo na ubishi ni Tshs 1.5 Trilion.
Mwulize CAG.