masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Usilete za kuleta.Ungekuwa na akili ungejua eingi wa hizo t1.5
Naungeuliza zilifichwa wapi,kusematu zimepigwa niujinga,hata cag amesema zilitumika bila kurecodiwa, uliza zilitumika wapi utaambiwa.
Ripoti za CAG huwa zinajadiliwa na Kamati ya Bunge ya PAC. Kamati hii, ilimwita CAG pamoja na Wizara husika wakajadiliana na mwisho wa siku Kamati ilitoa taarifa Bungeni kwamba hakuna fedha yoyote iliyoibiwa. Lakini turudi kiuhalisia, hivi huyo JPM anaembiwa amefanya ufisadi wa fedha zote hizo ameziweka wapi? Tuonyeshwe hata mali basi anazomiliki kujustify huo ufisadi wake.Kwani ile trillion 1.5 ilikwapuliwa na awamu ile ilikuwaje?
Kipindi kile hakukuwa na mwenye uthubutu wa kuweka mambo wazi
Kila kitu kitakua wazi
Ndio muwekewazi sasaivi kwamba zilikwapuliwa zikawekwa wapi, zimefichwa nje ya nchi ama kwenye bank gani hapa tanzania ama zipo kwenye viroba.Kwani ile trillion 1.5 ilikwapuliwa na awamu ile ilikuwaje?
Kipindi kile hakukuwa na mwenye uthubutu wa kuweka mambo wazi
Kila kitu kitakua wazi
Kama unalijua ameshakufa basi nayo haisadii kusema kuwa jpm alikuwa na ufisadi mkubwa bila ushahidi.Kashakufa hata nikikwambia haisaidii
Itajulikana lini kwahiyo mnalopoka vitu ambavyo hata havijulikani.Usilete za kuleta.
Miradi ya Canada itajulikana tu.
Tulia sindano ziingie taratibu.Itajulikana lini kwahiyo mnalopoka vitu ambavyo hata havijulikani.
Shame on you vibaraka.
Mbona hauleweki? Hiko chama unachokitaja kimesajiliwa na msajili wa chama au ndii kupayuka huko?Chama cha Sukuma Gang.
Ni chama kilichoundwa na sera za upendeleo,wizi na ubaguzi wa kikabila wa Magufuli.
Na ndio maana kitakufa tu kama mwenyewe.
Tuliobaguliwa tutahakikisha tunakizika.
Ningependa Umoja Party kije haraka to be honest na polepole awaachie chama chao majizi wale.
Wanaogopa nini kuuutoa? acheni upuuuzi wa kitotoUshahidi uko serikalini, ripoti ya CAG.
Tulieni Chato gang, sindano zaidi zinakuja!Wanaogopa nini kuuutoa? acheni upuuuzi wa kitoto
Usipanic mambo tartibu.Mbona hauleweki? Hiko chama unachokitaja kimesajiliwa na msajili wa chama au ndii kupayuka huko?
Waeleweshe dunia basi, -unamumunyamumunya- ...kwamba huna ushahidi, huna yeyote yule wa kumtaja aliyekwapua wala sehemu alikoficha mummu mumumu!
Nani amekudanganya kwamba ...hiki chini
ndicho ulichokitaja? mmuuuummu mu
Nadhani kichaa niwewe ambae unalopoka bila ushahidi.Kichaa akiwa ameshika panga mkononi ilikuwa ngumu kumsogelea.
Tukupe ushahidi wewe kwani wewe ni DPP?Kama unalijua ameshakufa basi nayo haisadii kusema kuwa jpm alikuwa na ufisadi mkubwa bila ushahidi.
Ccm wanalindana....Ujinga mtupu, sasa huyo jiwe yupo? Nini kinashindikana kuwachukulia hatua hao waliopiga.
Hata mimi nikijitoa akili naweza kusema mtu flani nifisadinlakini nitashindwa kudhibitisha.Ccm wanalindana....
Engineer wa ufisadi kashakufa na tunataka dunia ijue hivyo
Utapata tabu sana kumtetea marehemuHata mimi nikijitoa akili naweza kusema mtu flani nifisadinlakini nitashindwa kudhibitisha.
Sindano zilisha waingia nyinyi na wajombazenu walio ruhusu vyetifeki na wafanyakazi hewa.Tulia sindano ziingie taratibu.
Mwizi mkuu kasha kufaMbona mnakuwa kama watoto wadogo?
Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa.
Mnadai kuna ufisadi mkubwa ulitokea awamu ya tano. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa , nani alikwapua na sasa amezificha wapi. Serikali izirudishe.
Hataweza kumtetea hata kidogoUtapata tabu sana kumtetea marehemu
Hata makamu wake anamuexpose
Ila wee jamaa ni mnafiki kupindukia!! Yaan humu hua unasoma upepo unaendaje, utaingia kweny utawala huu utang'ata na kupuliza then ukirud kweny genge lako la walinda legacy unang'ata na kupuliza!!!Hata Lowassa walimsingizia hivyo hivyo.
Chadema wana upuuzi mwingi!
Hasira za nini sasa?Usipanic mambo tartibu.