Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

He is paid 80% of what the sitting president is being paid, nothing to loose! Plus benefits!
Ungegombea katiba mpya ningekuelewa! Wewe unapata ngapi?
 
Wewe sio muungwana..wewe sio mstaarabu.

Waheshimu watu wazima.


Unawezaje kumtakia mtu mzima sawa na baba ako Maneno makali kama.hayo?

Moderator futeni huu uzi tafadhali unashusha heshima ya jf
 
Yaani umeaua kuwachonganisha kabisa hapa waziwazi?

Nisikilize kitu kimoja ndugu yangu. Mara zote tunapotokea kujidai kuwa sisi ni wajanja zaidi kuliko JK, yeye huwa anatukubali na kuamua kutulia halafu huko mbele ya safari tunakuja kukutana na kigingi ambacho huwa kinatukumbusha tena kuwa busara za JK ni za muhimu sana kwetu

JK ni Rais mstaafu, ameiongoza nchi hii kwa miaka 10 kamili, akastaafu, akaondoka madarakani huku akiiacha nchi ikiendelea kuwa salama, achilia mbali umaskini wetu. Tuna watu wawili tu kwa sasa wenye CV zenye sifa hiii, JK na Rais Mstaafu Mwinyi. Kwa hiyo ukimwondoa Rais mwinyi, JK anabaki kuwa mTanzania pekee mwenye CV ambayo waTanzania wote million 60 hatuna.

Tumsikilizeni JK kwa sababu kuna mambo ambayo Mungu huwa anapitishia kwake. Ni kwa sababu JK ana CV ambayo waTanzania wengine wote hatuna
 
JK alikuwa akijitetea badala ya kukishauri chama. Alikuwa akimshauri mwenyekiti badala ya kuishauri mkutano mkuu. Alikuwa akimhutubia mama badala ya kuuhutubia mkutano mkuu.
Alisema uongo kwa sababu katika uongozi wake ndio kulikuwa na vijana aliowatuma kumtuhumu Lowassa na viongozi wengine kama Warioba.
Waliibuka kina Makonda na Hamidu Shaka wakiwachafua watu kisiasa. Kina Sixtus Mapunda na Sadifa.
 
Wewe sio muungwana..wewe sio mstaarabu.

Waheshimu watu wazima.


Unawezaje kumtakia mtu mzima sawa na baba ako Maneno makali kama.hayo?

Moderator futeni huu uzi tafadhali unashusha heshima ya jf
Kwani mleta uzi ni mtoto? Kama ni mzee mwenye busara na yeye? JK aliendekeza emotions kwenye ile hotuba badala ya busara za mzee, mwenyekiti mstaafu na Rais mstaafu.
 
Kama ni mh. Kikwete hainashida maana wakati wa Magu kila mtu alisema afadhali Kikwete hata agombee tena, kilio cha wengi kimesikika na sasa anatawala nyuma ya mfumo.2025 wapinzani nao watapata ili tuwapime.
 
Kama ni mh. Kikwete hainashida maana wakati wa Magu kila mtu alisema afadhali Kikwete hata agombee tena, kilio cha wengi kimesikika na sasa anatawala nyuma ya mfumo.2025 wapinzani nao watapata ili tuwapime.
Mkapa ilikuwa afadhali mwinyi

Kikwete ilikuwa afadhali mkapa

Magufuli ilikuwa afadhali kikwete

Mama samia wanakuambia afadhali magu [emoji1]

Watz kazi kweli kweli

Ova
 
Mkapa ilikuwa afadhali mwinyi

Kikwete ilikuwa afadhali mkapa

Magufuli ilikuwa afadhali kikwete

Mama samia wanakuambia afadhali magu [emoji1]

Watz kazi kweli kweli

Ova
Kabisa mkuu,yaani mi nashindwa kujua watanzania wanataka nini maana bado hitaji moja tu la mwisho la kupata Rais kutoka upinzani tuone.
 
jakaya kaongea mara moja tu mnaweweseka wiki nzima. kapiga kunako sasa wazushi dawa yenu imeshaiva
Umeona ee?!!!! Wanajaza server tu na mathread ya kila aina ya uzushi na chuki. Halafu jamaa hana haraka ya kumjibu mtu, yule musiba 47i8y*yybkaja kumjibu juzi, tena kwa sekunde 3 tu.
 
Pale 'mtu mbaya' anapotumika kama reference ya mazuri bandiko linakuwa uozo, ni jambo jema kwamba 'mtu mbaya' alikufa watu wakaacha kuishi kwa hofu za kutekwa, kuuawa, kubambikiwa kesi au kuporwa biashara/mali zao.
 
CV yake haimuondolei ubinadamu wake. Huyu ni mstaafu mwenye mtandao mpana sana nyuma yake hivyo yeye kama yeye anaweza kuwa ametosheka lakini anazo presha za watu wake na wengi wao ni vijana wenye elimu za vyuo vikuu na wenye kujiamini kuwa wanaweza kuendesha mashirika na wizara za serikali, hapo ndio JK anapokuwa na ukaribu na wasaidizi wa SSH,
 
Ndiyo. Watu wa a tabia mbaya. Wanamwambia Samia usiogope mows wanaobweka. Fanya kazi. Sisi tutakuLinda. Watamlinda vipi? Kim Linda raid ni kazi ya JWTZ.
 
Huyu Mzee ni miongoni mwa wazee ambao waliingia katika utawala wa Tanzania kwa kuwa tu Julius Nyerere aliweka system dhaifu .Ndugu Kikwete amekuwa Rais wa Tanzania kutokana na udhaifu mkubwa wa system za Nyerere ambapo ukiwaonga watu 1,500 tu inakuwa Rais.Jamaa hana kabisa uwezo wa kufikiria .Inasemekana Mzee huyu japo alipata degree ya uchumi lakin ,alipata degree ya chini kabisa.Mzee huyu ,kwenye system zake mbovu aliingiza wahuni wenzake Kama kina mzee Makamba ambao hata kidato cha nne hawakumaliza.Ni kituko kuona Mzee Makamba ambaye hana uwezo kabisa hata wa kufikiria Leo hii ndio anajifanya mchambaji wasomi wa CCM na Tanzania.Huku mwanawe ambaye aliiba mitihani ya kidato cha nne kwa kuwa hakuwa na uwezo kabisa ndiye anaongoza wizara ya nishati.Hapo ni rasimi tumezikwa.Huyu Mzee Kikwete ambaye alituma Jeshi kupiga watu kule Mtwara ili aibe gesi ,bado anaamini kuwa mtoto wake nae atakuwa Rais.Hawa wakisikia katiba mpya wanaarisha sana huko kwao.Ndio maana huyu Mzee alisimama juzi kusisitiza uongo.Mungu yupo tutaona.
 
Wewe kijijini kwenu mlikuwa mnafanya shughuli gani ambayo ni ya akili hebu tutajie?au kazi ya kucheza vigodoro na kubinua makalio ndio ya akili kuliko kuchunga ngombe?
Chunga babu,jua mvua chunga maana ng'ombe hawajui mvua wao wale tu,chunga mpaka nywele zipauke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…