Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

Kavideo au kaudio ka hotuba ya mama na mjuba tafadhali ili inoge
 
Jakayacna Samia wote ni wezi wa kura kwa lengo la kujinufaisha kwa rasilimali za nchi wao na jamaa wao wa karibu.
 
Ni jambo la kuombea liendelee na wararuane haswaaaa.

Chama kinapaswa kukaa pembeni.
 
Umenena !!
 
Bora hukujaribu kufanya ulichofikiria kufanya mkuu maana sina shaka gharama ingelipwa kwa ukubwa wake.
 
NJIA BORA YA KUKIEPUKA HIKI KIZEE NI KUSUBIRIA SIKU YA MUNGU AU KIFO KUKITWAA.
 
The best comment!!!
 
Mtoa mada ameandika maneno mengi ila kuna kitu hajaelewa.
Lengo la JK sio kumponda Suluhu ila lengo la JK ni kumfagilia Suluhu aendelee kwa sababu wanammudu.
Wanahofia akiingia mtu mpya mfumo unaweza ukabadilika yakaja kama ya Marehemu Magu.
Na hii ndio hoja watu wengi hawaielewe,JK na his Company's wanataka kuhakikisha asitokee MTU nje ya cycle yao but muda huwezi shindana nao.
 
Shida watawala wanageuza nchi ya familia…..
Ipo siku wananchi wataamua
 
Labda kama huyo waziri anayetajwa kuwa anautaka urais ni Riz moko au Marope April.
 
Ila Sukuma gang mnapata tabu sana
 
Tudokeze alikuwa mtu wake na mliye mchagua kama mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…