Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

Joka Kuu ndo mzizi wa matatizo yote nchini.
 
Mtoa mada ameandika maneno mengi ila kuna kitu hajaelewa.
Lengo la JK sio kumponda Suluhu ila lengo la JK ni kumfagilia Suluhu aendelee kwa sababu wanammudu.
Wanahofia akiingia mtu mpya mfumo unaweza ukabadilika yakaja kama ya Marehemu Magu.
Pole akili Yako fupi sana
 
Naona sahivi nyie,mnapeta tu

Mnatereza kama wingaaaa terezaaaa

Hongereni bana nchi iko vizuri

Uchumi na mambo mengine yako mukide

Ova
Furaha ya Watanzania wengi ni kwamba lile dubwasha liovu halipo duniani, usitegemee serikali kuja kukugawia pesa fanya kazi acha malalamiko kama mke wa pili
 
Mwacheni huyo mzee apumzike mtamuua kwa maneno ndugu watanzania... yupo pale kama mshauri... angekuwa mbaya tayari wasiojulikana wangekuwa washamuweka kitimoto na kumpa onyo kali na angekuwa kashatulia muda mrefu.. watu wengine mna uzushi sana! Sasa watoto wa JK wana nguvu gani na wao walete chokochoko kwenye serikali?!....Kwani ni wao tu ndo baba yao alikuwa Rais hapa nchini?! Mzee mwinyi hana watoto?! Mzee Mkapa marehemu?! Mzee Nyerere?! Mzee Magufuli?!

Kusoma hamjui hata picha kutazama jamani πŸ˜‚

#SioKwaUbaya
 
Kijana heshima ni Kitu cha bure
Umeongea kwa hasira na kujiamini sana mkuu! Nimependa πŸ˜‚πŸ‘πŸΎ

Siku hizi Afrika Mashariki uzushi umeshika hatamu... hasa kwa kuwalenga viongozi, hata kama wana mabaya yao.
 
Licha ya kusema kuwa siyo utamaduni kwa Rais anayemaliza muhula mmoja kupingwa na wagombea wengine ndani ya chama, alionya kuwa hilo linaweza kutokea "kama mambo yakiharibika sana."
Yani anamaanisha kwamba sasaivi mambo yanaharibika lakini hayaja haribika sana.
 
Wewe una chuki binafsi tu na JK.....hizo chuki hazikusaidii lolote tafuta tu maisha.
 
Una hasira sababu unayempenda kakosa cheo.
 
Una hasira sababu unayempenda kakosa cheo.
Mimi sitegemei cheo cha mtu mzee wa kazi siasa tunafanya temporary kwani ndio tumelelewa kwenye mazingira ya siasa tangu utotoni,tupo kwenye siasa kama hobby tu lakini sitegemei kupata chochote maana kazi ninayofanya inanilipa mara kumi zaidi ya huo ujumbe wa halmashauri kuu ya Mkoa..Baba yangu kawa mwenyekiti wa mkoa wa chama miaka kibao hakuna alichoambulia mama yangu pia Katibu wa UWT wilaya miaka na miaka unadhani nitakuwa na nafasi ya kutegemea cheo cha mtu nisiyemfahamu?!
 
We ni muhaya?! πŸ˜ƒ huoni sasa kama unajianika wewe ni nani humu?! Kuna watu wataalam wa ku-connect dots shauri yako... sifa zitakuponza
 
We ni muhaya?! πŸ˜ƒ huoni sasa kama unajianika wewe ni nani humu?! Kuna watu wataalam wa ku-connect dots shauri yako... sifa zitakuponza
Mimi hata picha yangu mkitaka nawawekea..tangu 2015 mpaka leo nimekuwa nikikutana na wanajamii forums kibao nje ya forums so hakuna cha ajabu hakuna mtu ninayemuhofia humu maana watu kibao wananijua
 
Mimi hata picha yangu mkitaka nawawekea..tangu 2015 mpaka leo nimekuwa nikikutana na wanajamii forums kibao nje ya forums so hakuna cha ajabu hakuna mtu ninayemuhofia humu maana watu kibao wananijua
Good for you! 😊
 
Natamani mzee JK 2025 aingie ulingoni hata kwa kubadili katiba...
(3) "Mtu aliyewahi kuwa Rais wa Tanganyika au Zanzibar
hatapoteza sifa za kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano kwa sababu aliwahi kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa
Tanganyika au Rais wa Zanzibar.
(4) Endapo Makamu wa Rais atashika nafasi ya madaraka ya
Rais kwa mujibu wa masharti ya Ibara ya 76 kwa kipindi kisichozidi
miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais kwa vipindi
viwili, lakini kama atashika nafasi ya madaraka ya Rais kwa muda
wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya madaraka
ya Rais kwa kipindi kimoja tu. "

Hiyo ni katiba mpya inavyosema.
So hakuna lisilowezekana chini ya jua hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…