Mstaafu wa Jeshi atuhumiwa kuua kwa risasi kisa mgogoro wa mipaka

Ameua bila kukusudia atahukumiwa kifungo Cha nje ataendelea kukaa kwenye kiwanja chake
Hasara kwa marehemu

-What is Murder and what is manslaughter?
And how do you establish Malice aforethought in the offense of murder?
 
Mimi ninaye jirani kama huyo wa kwako, tena huko huko maeneo ya wazo. Yeye kafukia barabara ili ihamie kwenye ardhi yangu, hivyo kaongeza kiwanja chake kwa kufukia barabara ya zamani. Naye ni askari mtaafu alafu Mchaga. Ukiirudisha barabara kwenye njia yake ya asili, yeye anaamka saa 8 usiku anaifukia tena. Yaani ni shida!
 
Vita ya mchaga kwenye ardhi huwa hainaga mwisho
 
Jirani yangu ni mwanajeshi
Amejenga Karo kwenye uwanja wangu

Hatujawahi kumuuliza wala kusema neno
Tunajipanga kuweka ukuta kimya kimya

Siyo uoga ila ni kuepusha Shari.
 
Vita ya mchaga kwenye ardhi huwa hainaga mwisho
Yaani ni tabu tupu. Tena mzee mwenyewe ni Alumni wangu, alisoma shule ambayo na mimi baadae sana nilikuja kusoma. Hivyo nilitegemea uhusiano mzuri kati yetu. Nimezungukwa na wachaga wengine wawili ila hao wako poa sana.
 
Wana hila sana hao watu
 
-What is Murder and what is manslaughter?
And how do you establish Malice aforethought in the offense of murder?
Kama hio bastola aliiacha ndani akaifata akatoka mpaka nje akaikoki akampiga huyo mwingine hio ndo malice afore thought sababu kwa muda alioutumia kwenda ndani kuitafuta katika akili ya kawaida anaweza hata ghairi kutaka kuitumia ila kama ilikua ipo kiunoni akampiga jamaa mara moja..hio ni manslaughter ila kwa kupiga risasi tatu huyo alidhamiria kumuua
 
Hivi viwanja ukitaka kununua inabidi ukutanishwe na jiran umsome tabia sasa maana jiran kama wako unaweza ukaacha nyumba πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…