Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Hata ke wapo wasiojitambua pia! Ni vile wanaogopana kuambizana sio kama me kuchanana live ni kugusa tu! Imagine wale kina Lucas na tlaatlaa wangekuwa wa kike ingekuwaje🤣
Imagine wale kina Lucas na tlaatlaa wangekuwa wa kike ingekuwaje🥱🙌🏿😂🙆🏿‍♂
 
Mwezi mchanga anamuoma mwingine hayuko timamu wakati yeye ndio ana kila dalili za kuweweseka na mtandao😂
 
Khaaaa 🤣🤣🤣🤣
Kwani na wewe jewellery limekupata ?
Sijui Legend wamemfanya nini hawa Vijana ? Najiuliza Wanamdekea sana ? Mafriji hayagandishi au hawana makoromeo ???
Ndio limenipata, kwani mshana anaongea na kina nani😂

Wamemtapeli vijana sio wazuri😁

Mafriji hayana luku, mtu tangu azaliwe hajawahi kuonana na mtu kwa heshima kwanini asije kujitapa hapa😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…