Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Dawa ya Huu ujinga uliobaki Afrika ni Demokrasia na Katiba zenye kuwapa wananchi mamlaka juu ya nchi ZAO.

Ushahidi tumeuona Kenya.

Kama SIO katiba ya wananchi Kenya kungaibuka vita ya kikabila.
Leo hii Tanzania kuna ukabila kulika Kenya.

Msumbiji Yote ni Chama cha Frelimo kujiona wao ndio wenye hati Miliki ya nchi matokeo yake wanawafanya wale wanaotengwa kuungana na maaduni Wa Nje. Watu wanadanganywa kuwa Magaidi watakimboa nchi Yao na kutumia Rasilimali zao Kwa manufaa ya wengi.

Majeshi ya Afrika yamekua ni Kwa AJILI ya kuwalinda Watawala na wawekezaji ambao ni combination ya wezi Rasilimali za Nchi HUKU wananchi wakiwa na maisha duni. Matokeo yake ni watu maskini kuungana na vikundi vya kihalifu kama Hao Magaidi.

Bila Demokrasia na utawala Bora wahuni hawataisha Ndani ya Serikali za Afrika na Nje ya Serikali ZAO.

Poleni sana Wanajeshi wetu. Tawala za kihuni zinaumiza sana Watoto Wa maskini.
 
Uzi ufutwe kwanini??????
Kwanini tusijue kuwa jeshi letu ni makende ya mbuzi...
CCM imewafanya nyinyi kuwa ng'ombe kabisa, kuwa hamhitaji kujua kinachoendelea nchini, ndio maana mpaka leo wapo bado.....
Kwanini kila mada mnaweka jazba na kutukanana wakuu hata hamjuani ?.?.?Mbona kuna nchi ni imara za kivita na zinafanyiwa ambush na wanakuwa affected na wala hawana chama cha CCM
 
Wajomba wamekimbia?
Kuna kipindi tuliambiwa vijana wa Kagame wamewamaliza magaidi na kila kitu ni shwali! Sasa nini Tena.
Propaganda za pk tu,msumbiji kuna majeshi ya nchi nyingi tu na yanapambana kweli kweli,jeshi la pk lilienda baadae sana na kuanza kushow off za mapicha picha za kutupia kwenye social media
 
Uhimara nmeacha kusoma comment yako kwenye hilo neno

Na naskia ulifika chuo kikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…