1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Dawa ya Huu ujinga uliobaki Afrika ni Demokrasia na Katiba zenye kuwapa wananchi mamlaka juu ya nchi ZAO.
Ushahidi tumeuona Kenya.
Kama SIO katiba ya wananchi Kenya kungaibuka vita ya kikabila.
Leo hii Tanzania kuna ukabila kulika Kenya.
Msumbiji Yote ni Chama cha Frelimo kujiona wao ndio wenye hati Miliki ya nchi matokeo yake wanawafanya wale wanaotengwa kuungana na maaduni Wa Nje. Watu wanadanganywa kuwa Magaidi watakimboa nchi Yao na kutumia Rasilimali zao Kwa manufaa ya wengi.
Majeshi ya Afrika yamekua ni Kwa AJILI ya kuwalinda Watawala na wawekezaji ambao ni combination ya wezi Rasilimali za Nchi HUKU wananchi wakiwa na maisha duni. Matokeo yake ni watu maskini kuungana na vikundi vya kihalifu kama Hao Magaidi.
Bila Demokrasia na utawala Bora wahuni hawataisha Ndani ya Serikali za Afrika na Nje ya Serikali ZAO.
Poleni sana Wanajeshi wetu. Tawala za kihuni zinaumiza sana Watoto Wa maskini.