tecknologia23
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 259
- 382
Hata nyie Bure kabisa mnapikwaga tu hamjawahi kuiva ndio maana mnachukuliwa kila kitu mnabaki kutoa mada za dawa za miswaki na huku wenzenu wanamaliza kila kitu kwetu, gesi, mafuta,wanyama , madini. Wajinga tu kama machifu wenu wanaletewa kioo wanaona ni sawaBure kabisa wewe
Subiri uchunguz ufanywe tujue ukweli
kweli mkuu umaskini sio kitu kizuriWengi watakataa ila huo ndiyo ukweli.
Umaskini ni m'baya sana asikuambie mtu.
Wazungu ndio wamefanya tafiti wakajua tunapenda ngono na ushoga wao wamekuja kuchukua rasilimaliWabongo mnawaza ushoga na ngono tu.
Hizi misaada ni midogo sanaa, dawa za meno na miswaki si jambo linalotushinda. Tunaendekeza tuu kupewa vya bure.Sawa... Hata Kama tunashida.... Hivi tuna shida ya dawa za miswaki?
Tunashida ya kufunguliwa miradi ya ufugaji wa kuku?? Kweli? Ndio nahitaji yetu ya msingi??
Ila wakiona watu wanauliza sana maswali watatoa majibu ya ukweli. Shida ikiwa ni misaada haipingwi, ila ingekua ni biashara ya mtanzania wangeshazuia zamanikwa utafiti gani anaoweza akaufanya mtanzania na kubaini ayo madudu, TBS wenyewe janja janja, TFDA ni wapitishaji tu.
tutaangamia
Kwa Colgate acheni ujinga humo majumbani mwenu watoto wanatumika kingono , wanapewa manyanyaso makali na ndugu nawafanyakazi wengine wanalazimisha wasex nao . Halafu hujui hata madereva washule kama hawatumii kingono au kwa ubaya wowote bila ya ridhaa Yao au hata mahali pengine nyie mnawaza Colgate ya mkimzidi akadhurika unashangaa mtoa mada ni mmoja wapo wawale wasiokuwa na elimu ya kujua kipi sahihi na atofautishe.Watoto wetu awa inabidi tuwalinde sana
Ila Colgate sio utumwa ni wanatoa msaada kama mashirika mengine , mbona hamsemi , always , bonite, nakampuni mbali mbali wakujitolea mashuleni iwe colgateHizi misaada ni midogo sanaa, dawa za meno na miswaki si jambo linalotushinda. Tunaendekeza tuu kupewa vya bure.
Bado tunaishi chini ya utawala wa awa jamaa, tunafeli sana
WatalaumuHii nchi ni heri ingefutwa tu. Ukiwapa misaada lazima wahoji labda uwasaidie tende za kufungulia ramadhani jioni.
Hivi wangeamua kuwafanyia umafia mngebaki salama?
Ikumbukwe mpaka net mnasaidiwa
Mtoa mada ana ufahamu mkubwa ndio maana ameipost hii issue.Kwa Colgate acheni ujinga humo majumbani mwenu watoto wanatumika kingono , wanapewa manyanyaso makali na ndugu nawafanyakazi wengine wanalazimisha wasex nao . Halafu hujui hata madereva washule kama hawatumii kingono au kwa ubaya wowote bila ya ridhaa Yao au hata mahali pengine nyie mnawaza Colgate ya mkimzidi akadhurika unashangaa mtoa mada ni mmoja wapo wawale wasiokuwa na elimu ya kujua kipi sahihi na atofautishe.
Wanatufanyia umafia sana ndo maana wanatuharibia mpaka watoto wetu kwa utamaduni wao. Mbona umafia mwingi sanaHii nchi ni heri ingefutwa tu. Ukiwapa misaada lazima wahoji labda uwasaidie tende za kufungulia ramadhani jioni.
Hivi wangeamua kuwafanyia umafia mngebaki salama?
Ikumbukwe mpaka net mnasaidiwa
Sasa we kwa akili ya kawaida dawa ya meno itaweza destabilize hormone?Sii ujinga, ukiuliza kupata ufahamu na kujua uhalisia
Wajiona watu muhimu sana katika hii dunia,mbona nchi nyingine za africa hatusikii huu ujingaWatanzania.
Mnawaza kudhuriwa dhuriwa tu.