Tushikane umoja watanzania, nchi yetu imeuzwa! Wote tuwe kitu kimoja!Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda.
View: https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
Ndio aende na majizi?Mlifikiri mama kaneda kutembea huko. Lazima aende na kichwa cha biashara.
Mkuu Okwi, OKW BOBAN SUNZU , heshima kitu cha bure!, tusiwachafue wahisani, wafadhili, washitiri na wadhamini, wetu kwa kuwaita majizi!. Huu ni utovu wa shukrani.Ndio aende na majizi?
Mlifikiri mama kaneda kutembea huko. Lazima aende na kichwa cha biashara.
Very stupid commentMlifikiri mama kaneda kutembea huko. Lazima aende na kichwa cha biashara.
😜😜😜😜😜😜Mkuu Okwi, OKW BOBAN SUNZU , heshima kitu cha bure!, tusiwachafue wahisani, wafadhili, washitiri na wadhamini, wetu kwa kuwaita majizi!. Huu ni utovu wa shukrani.
Laiti ungelijua kuwa hizi ziara za kutembelea Expo mbalimbali ni ziara za ufadhili unaofanywa na washitiri, kuanzia ile Expo Dubai iliyozaa matunda mema, ya DPW, na ziara hii nayo itazaa matunda. Just imagine ufadhili mkubwa kama kufadhili Royo Tua, mapesa mangapi yametumika?!, halafu mtu uje hapa uanze kuwaita wafadhili wetu ni majizi!, haikubaliki hata kidogo!.
P
CCM wanachama wake ni mambuzi kabisa, kwao chama kwanza nchi baadaye. Shame on themTushikane umoja watanzania, nchi yetu imeuzwa! Wote tuwe kitu kimoja!
Kivipi Royo Tua ilete DPW ikiwa tunaambiwa DPW ilikua ishakamilisha mchakato hata kabla hajawa mkuu Royo TuaMkuu Okwi, OKW BOBAN SUNZU , heshima kitu cha bure!, tusiwachafue wahisani, wafadhili, washitiri na wadhamini, wetu kwa kuwaita majizi!. Huu ni utovu wa shukrani.
Laiti ungelijua kuwa hizi ziara za kutembelea Expo mbalimbali ni ziara za ufadhili unaofanywa na washitiri, kuanzia ile Expo Dubai iliyozaa matunda mema, ya DPW, na ziara hii nayo itazaa matunda. Just imagine ufadhili mkubwa kama kufadhili Royo Tua, mapesa mangapi yametumika?!, halafu mtu uje hapa uanze kuwaita wafadhili wetu ni majizi!, haikubaliki hata kidogo!.
P
Mkikosa hoja ndiyo zenu hizo.Very stupid comment
Ulitaka waende na wewe? Una biashara ipi mchaga wewe, zaidi ya kuuza pombe?Ndio aende na majizi?
Isiwe hivyo bwana, Wacha waende kujifunza ukulima wa mbogamboga na maua huko jangwani, manake huko Tz pamoja na kuwa na mazingira rafiki, mmeshindwa....Ndio aende na majizi?
What satire!! Kumbe, nawe Mkuu unarusha 'madongo' kimya kimya! Sikutarajia.....haikubaliki....
Ni Dr Slaa tu anayemmudu RA hapa Bongo 😂😂🔥🐼Tushikane umoja watanzania, nchi yetu imeuzwa! Wote tuwe kitu kimoja!
Kichwa cha biashara🤣Mlifikiri mama kaneda kutembea huko. Lazima aende na kichwa cha biashara.
Tena mtaji mkubwa sana ule, unafikiri utakuwa na vitalu vya kuwindia bila silaha?Kichwa cha biashara🤣
Hata zile silaha nyingi alizokamatwa nazo mdogo wake ni sehemu ya mtaji......
Yupo vyedi