peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie endeleeni tu kusoma Waraka..Yule dalali ameajiriwa Lini huko magogoni?Yuko Doha na Saa100.
😃😅😁😀😅Huyo Jamaa Huwa Hakosei, Amelenga Hapo LazimaNyie endeleeni tu kusoma Waraka..
Mtaona cha moto.. niko palee...👉👉👉
Mdudu Ndani Ya Kokwa La Embe Kaingiaje?Daaah !!!
We kiboko, unamfahamu mtu hata kwa mgongo wake?Yule dalali ameajiriwa Lini huko magogoni?Yuko Doha na Saa100.
Anapanga dili lingine la kumsaliti boss wakeYule dalali ameajiriwa Lini huko magogoni?Yuko Doha na Saa100.
View attachment 2771319
Haya njoo na hoja nyingine na matusi mengine pia!!
Hawa watu wana maradhi katika nyoyo zao. Hata uwafanye nini hawabadiliki.Akimbie camera?huoni Kuna Tycoon mwenzake anazungumza nae hapo??
Hovyo kabisa,akimbie camera kwani unadhani watu wameenda huko kupiga picha wakutumie uweke JF??
Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda.
View: https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
Ustaarabu upo NgorongoroUpo sahihi.
Wewe huna ustaarabu?
Kichwa cha biashara au mwiziMlifikiri mama kaneda kutembea huko. Lazima aende na kichwa cha biashara.