Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

Hakika... Yale mafedha yamebadilisha maisha ya wenzetu, mitaa inawaheshimu!
 
Nimekumanya
 
Aina ya matumizi haibadilishi msingi wa jinsi ulivyoipata hela.
 
Mwizi ni mwizi tuu na hawezi kupewa heshima yoyote na mtu yeyote mwenye akili timamu, ziara zenyewe za ujombani kwake ndio zinatuletea vitu vya ajabu kama "Dipii Weldi" upuuzi mtupu, alafu akadanganya kwamba wakenya wanataka huo mkataba Ruto kamuumbua juzi tuu hapo, hata ukisifia kwa kiwango gani hulambi teuzi ng'oo
 
Huyu jamaa Huwa namfananisha na nyoka mwenye ndimi 2.
 
Una matatizo wewe, si bure.
 
Kwani kaka Pascal Mayalla royo Tua ina faida gani mpaka iitaji ufadhili wa Pesa nyingii...
kuonyesha kuwa Rais wetu anajua kuigiza au kuna faida gami nyingine...
Kwa ninavyojua Nenda kapitie statistics Kuwa Watalii wengi Tangu miaka yote hufata matukio maalumu na hujaa pindi matukio hayo yanapotokea...
Kwa mfano Movemants ya nyumbu na nyati huwaleta watalii wengi kushuhudia lakini sio royo tua...
Hebu nipe statistics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…