Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

Ukweli usemwe bwana, ROSTAM AZIZ anatupiga vilivyo kwa ujinga wetu.
 
Natamani nikuone na wewe unafunga biashara hata ya mihogo kwenda China
Ila kwa jicho la hasidi tunaongoza
 
Kwhy hiyo ndio succession plans za Taifa?? Rais wa kumi sijui atajuta nini Cha kugawa kwenye hili taifa.
 
Hivi huwa hawaoni juhudi hizi au ndio jua limezama? badilisha uelekeo
 
Wanapofadhili wao tunajua wanakua wamenufaikaje?!! Mtasema wanatoa hela bure tu?!!

Mungu alietufadhili utu na pumzi nae anatudai tumtumikie mwisho wa siku na tusiomtumikia vizuri atatuchoma Moto,je wao?!!
 
hivi we jamaa una matatizo gani?
 
"kuanzia ile Expo Dubai iliyozaa matunda mema, ya DPW", Paskal acha kuwachokoza watu shauri yako wakianza kukutupia madongo.
 
Mayala ndugu yangu usipate taabu kushindana na wajinga, hata umweleze nn hataki kuelewa kwa sababu tu hataki, anafahamu profile ya Rostam Aziz? au kwa kuwa anaona anatoka Tanzania basi anaona wanalingana! hili ndio tatizo kubwa linalokabili watanzania, halafu ukute huyu ndio wale vijana taifa linawategemea kuleta mageuzi, tuna safari ndefu, wakati wenzetu wanahangaika kuchangamkia fursa za kibiashara yeye anahangaika kutafuta matusi ya kutukana watu!
 
Usituaminishe kuwa wewe ndiye umemuelewa Mayala zaidi!
 
Mimi wanachonishangaza wakati JPM yuko karibu na Rostam enzi za uhai wake Wala hawakuwa na hizo kelele,Leo dhambi ni nini Samia akionekana kuwa karibu na mfanya biashara huyo?
Tatizo Sa100 ni dhaifu sana haaminiki, wahuni hawa watamuingiza chaka.
Angalau JPM walikuwa wanamgwaya kwa ubabe wake.
Umeona tofauti Sheakh?.
 
Hatimaye Ikulu yetu imegeuka kuwa pango la walanguzi!
Kumbe ndio maana Sa100 alituahidi wananchi angetutajia majina ya aliowaita wafadhili wa Roho Tour ila mpaka sasa kashikwa na kigugumizi hajawataja na sababu zinaanza kujionesha zenyewe!!.
 
Ukweli usemwe bwana, ROSTAM AZIZ anatupiga vilivyo kwa ujinga wetu.
Wewe ndiyo mjinga jisemee kivyako, mimi na wengine wote siyo wajinga. Ni hoja za kidwanzi kusema anakupiga wakati hauna unachofanya kwenye hizi fursa kibao zinazopatikana nchini. Endelea kulalamika JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…