🤣🤣Haaahaa,
Kuna watu wakatili Sanaa..rafiki yangu wa o_level
Alishobokewa na demu mmoja ivi so jamaa akamleta ghetto piga show walipo maliza akamtamkia ULICHO KUA UNAKITAFUTA UMEKIPATA..ITS OVER BETWEEN US.
So hili Jambo lako linategemea mtu na MTU.
Unaweza kutuelezea in more details hii issue ipoje maybe inaweza isitukite sisi ila tuwape elim ndugu zetu wengineMim Police Zanzibar ujinga huu upo sana Tena wazee wanakuja kuhonga ela ili kijana ashikiliwe
😊😊Kunywa maji, utu elezea vizuri Ume kutwa na nini mkuu?
😅😅😅 Hii solution ya vijana wa kataa ndoaJuzi kati kuna jamaa alimpeleka demu ghetto kwake so wakafanya yao kufika asubuhi jamaa anamwambia demu unaondoka saa ngapi? demu anamwambia niondoke niende wapi?
jamaa ndio ikawa kaoa hivyo bila ridhaa yake😃
Inawezekana kabisa sidhani kama familia za kishua zinaweza cheza dili za hovyo hiviNi hizi familiar za kimaskini
KabisaHii kweli kabisa hii michezo ipo na hasa wakikuona mwanaume unavisent vya kubadilisha mboga, gheto lipo vizuri ukiwa na kausafiri hata pikipiki, uwe makini sana usizani labda unapenda au wewe HB kumbe wenzako wanakuwimda na tena wengine wana washirikisha na wazazi.
Hakika Mkuu😊😊
Mfano Mimi nimnunulie mtoto pipi alafu iweje nionekane / niingie matatizoni.
Mfano ninapo kaa mtaani watoto wengi nimewazoesha watoto kuwa nunulia u fresh kiroho safi TU.
Hatajana watoto 20 wa MAJIRANI nimefika home mida ya saa mbili kasorobo usiku wakaja kunipokea kwa kuni wao.
Nikawapa pesa wakaenda kununua u fresh kiroho safi.
Mimi ni mtu wa maadili Sana na itokee mtu akuletee / issue Kama ya Manfred itashangaza sanaaa.
🤣🤣😅😅😅 Hii solution ya vijana wa kataa ndoa
Jamaa ni gaidi Ila kwa Sasa ametoa kabisa ndoa safi ya kiislamuu.
Noma sanaJamaa ni gaidi Ila kwa Sasa ametoa kabisa ndoa safi ya kiislamuu.
Ila jamaa ni CAX
Kaka hebu tuma teni lililo zagaa kwenye akaunti yangu🤣😁😊😊
Mfano Mimi nimnunulie mtoto pipi alafu iweje nionekane / niingie matatizoni.
Mfano ninapo kaa mtaani watoto wengi nimewazoesha watoto kuwa nunulia u fresh kiroho safi TU.
Hatajana watoto 20 wa MAJIRANI nimefika home mida ya saa mbili kasorobo usiku wakaja kunipokea kwa kuni wao.
Nikawapa pesa wakaenda kununua u fresh kiroho safi.
Mimi ni mtu wa maadili Sana na itokee mtu akuletee / issue Kama ya Manfred itashangaza sanaaa.
Mkuu we chukua tu tahadhari haitakugharimu kitu chochote. Waswahili hawana jema hata siku moja. Ni ushauri tu mkuu. Kama familia inaweza kufanya hiyo michezo na binti yao vipi washindwe kumtumia mtoto wao mdogo. Mimi mwenyewe hiyo ya watoto ndio nimejua leo ha JF. Na shida ya mambo kama hayo unweza usipate muda wa kujitetea na jamii yetu huwa haina muda wa kutafuta ukweli badala yake wanachojua wao ni kusambaza habari tu ili kila mmoja aonekane ndiye aliye kuwa wa kwanza kutoa "breaking news"😊😊
Mfano Mimi nimnunulie mtoto pipi alafu iweje nionekane / niingie matatizoni.
Mfano ninapo kaa mtaani watoto wengi nimewazoesha watoto kuwa nunulia u fresh kiroho safi TU.
Hatajana watoto 20 wa MAJIRANI nimefika home mida ya saa mbili kasorobo usiku wakaja kunipokea kwa kuni wao.
Nikawapa pesa wakaenda kununua u fresh kiroho safi.
Mimi ni mtu wa maadili Sana na itokee mtu akuletee / issue Kama ya Manfred itashangaza sanaaa.
FactMkuu we chukua tu tahadhari haitakugharimu kitu chochote. Waswahili hawana jema hata siku moja. Ni ushauri tu mkuu. Kama familia inaweza kufanya hiyo michezo na binti yao vipi washindwe kumtumia mtoto wao mdogo. Mimi mwenyewe hiyo ya watoto ndio nimejua leo ha JF. Na shida ya mambo kama hayo unweza usipate muda wa kujitetea na jamii yetu huwa haina muda wa kutafuta ukweli badala yake wanachojua wao ni kusambaza habari tu ili kila mmoja aonekane ndiye aliye kuwa wa kwanza kutoa "breaking news"
Mimi ni raisi wa ma jobless pro maxRais hawezi kukosa hela
Napokea ushauri na kuanzia leo ntauzingatia huu ushauri.Mkuu we chukua tu tahadhari haitakugharimu kitu chochote. Waswahili hawana jema hata siku moja. Ni ushauri tu mkuu. Kama familia inaweza kufanya hiyo michezo na binti yao vipi washindwe kumtumia mtoto wao mdogo. Mimi mwenyewe hiyo ya watoto ndio nimejua leo ha JF. Na shida ya mambo kama hayo unweza usipate muda wa kujitetea na jamii yetu huwa haina muda wa kutafuta ukweli badala yake wanachojua wao ni kusambaza habari tu ili kila mmoja aonekane ndiye aliye kuwa wa kwanza kutoa "breaking news"