Mtaani kuna Black-Mail system wanaume kuweni makini sana.

Kuna mwamba yupo anahangaika na rufaa Kwa issue kama yako
 
Hahaha ulichomokaje hapo
Nilikua nimeoa miezi michache tu sasa mama watoto alienda kujifungulia nyumbani kwetu, ikawa kuna kidemu kilinitesa kunipa tunda tangu kipo form one hadi form 4, sasa kilipoona nimeoa kikaungana na mamaake kunikomoa.

Unaweza kushangaa kwanini alikua ni mwanafunzi huku akiwa anashirikiana na mamaake kumbe kipindi hicho walikuwa wakinichuna huku mamaake akiwa ndio anampanga.
Sasa nilipooa ilikua ni jambo lililowachukiza sana hivyo naona mamaake ndio alimpanga ajilengeshe mwenyewe alafu akatae kuondoka. Kikajilengesha na nilivyokuwa na hamu nacho, kilipokuja mchana mimi nikajifungia nacho hadi kesho yake asubuhi.
Asubuhi kikawa hakitaki neno lolote zaidi ya kwamba tumeoana. Nilikua mpole kikataka mayai nikaenda kuleta tukachemsha tukala, tukaendelea kuenjoy ilipofika alasiri nikakipanga kwakuwa hatukujiandaa kirudi kwao wala kisimdanganye mamake bali kimwambie nakioa, kikauliza vipi mke wangu niliyemuoa? Nikakiambia ameenda kujifungulia kwao hivyo sina mpango nae mke wangu atakua ni yeye.... Sound sound kikajaa nikakiambia twende nikuache nyumbani kwenu mimi nipande camp kuchek sababu nasikia madini yametoka.
Alivyokubali maelezo yangu tukatoka mimi nikatuma marafiki zangu wakaniletee vitu muhimu kule nikashuka navyo Arusha geto nikawaachia.
Juzi mwaka mpya kuna hotel nilienda nikamkuta yupo pale nikala kona nikapeleleza kwa dereva fulani akaniambia anajiuza telegram mikoa tofautitofauti.... Nilisikitika sana
 
Masikitiko Basi nimeacha kuanzia muda huu kununulia watoto hapo mtaani.

Maana lisemwalo lipo Kama halipo laja.

Shukrani sanaa mkuu.
Tunaishi na watu wenye roho mbaya imagine jamaa amepewa kesi ya kubaka katoto ka jirani tena kwenye mazingira ambayo watu hawakauki jamaa anarudi jioni Toka kazini anakutana na wazee wanamsubiri ndo maana sitaki mazoea yote hiyo walikuwa wanataka Hela jamaa akawa mbishi
 
Done
 
Una bahati alikuwa na akili za kitoto ndio sababu alidanganyika
 
Braza ache starehe sio level yako unaforce king.

1. Mke akajifungulie kwao? Huna uwezo wa kutunza mke?
2. Demu una kaa naye 24hours unamlisha ugali na mayai🤣
3. Umeanza kuchunwa na kuhongwa tangu uko Form two
4. Demu yuko Telegram ya malaya wewe bado unaamini anatumwa na Mama yake🤣🤣🤣
 
Epuka kuwapa lift watoto waache watembee wenyewe mpka wanapoenda
 
Alienda kujifungulia kwetu mimi nikamdanganya huyo mchepuko kaenda kujifungulia kwao

Ni kipi kimekuumiza hapo? Unajua ni mwaka gani?
 
Alikuwa jamaa ana mazoea na huyo mtoto ?.
 
Tatizo unalosema ni kweli na alikuanza leo bali miaka kama 12 iliyo pita ...ila wanakusoma na saikolojia yako wakigundua upo thabiti wanakukimbia ...mimi binafsi niliwai kutengenezewa kesi ya hivyo ila walitawanyika wote walio jaribu kuniletea huo upumbavu ....awakujua kuwa mimi ndiyo the great genius of Allah time ....hii storyni yakweli kabisa.

NI MICHEZO MICHAFU INAYO CHEZWA MA WAMAMA NA SERIKALI ZA MITAA NA WAJUMBE WA NYUMBA 10 NA MAPOLISI ...Haya mambo yamekuja baada ya wanawake kuanza kuwa viongozi kuanzia serikali za mitaa na ujumbe
 
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…