Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Dili ya direct tairi chakavu kwa mtaji wa nusu ya hiyo hela.. Masoko yapo machaka ya kupata mzigo yapo
Dili nyingine ya moja kwa moja oil chafu.. Faida yake haina hasara hata siku moja
Wewe muongozo wako huwa ni kwenye inshu gani hasa?Mleta mada natumae umepata muongozo...
Oil inayotokana na service to kwenye magari makubwa na madogo na mitambo mbalimbaliMkuu hii oil chafu dadavua kiasi
Na kuhusu soko lake mkuu? Lipoje.?Kumbe uko center kabisa
Hapo Temeke mwisho kuna vijiwe vya oil chafu
Yard za kurasini zote
Yard za Buza
Yard za Mtongani
Mbagala
Nyerere road yote
Tabata nk
LipoNa kuhusu soko lake mkuu? Lipoje.?
Sawa mkuu ntakupigia 📞 Ili nipate uelewa mpana wa jambo iliLipo
Unaweza kupekeka kwenye viwanda tajwa ama kwa wakusanyaji wakubwa
Peponi...Wewe muongozo wako huwa ni kwenye inshu gani hasa?
#MaendeleoHayanaChama
Faza Mshana Jr tupe bc madini inshu ya matairi na oil chafu iko vpDili ya direct tairi chakavu kwa mtaji wa nusu ya hiyo hela.. Masoko yapo machaka ya kupata mzigo yapo
Dili nyingine ya moja kwa moja oil chafu.. Faida yake haina hasara hata siku moja
Check post no#12Faza Mshana Jr tupe bc madini inshu ya matairi na oil chafu iko vp
Asante
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ampe manchester odds 4 safi, baadae acc ina soma 20mTengeneza mkeka Weka odds za maana, Hiyo million 5 inageuka kua milion 10 baada ya dakika 90. All the best
Kwanza unapaswa kujua wewe binafsi huwa unapendelea biashara au mradi gani?Habari zenu wakuu.
Bila kupoteza muda ipo hivi nimekuja kwenu nahitaji ushauri wa kibiashara...
Ndiyo ipoje hiyo?Fanya biashara ya makopo ya plastic utakuja kunishukuru
Jaribu forex brooHabari zenu wakuu.
Bila kupoteza muda ipo hivi nimekuja kwenu nahitaji ushauri wa kibiashara.
Je, 5M naweza kufungua biashara gani ikanitoa binafsi sijawahi kufanya biashara yoyote.
Ushauri wenu Wadau🙏