sio bomu, nilitaka nisaidiane nae matumizi. lol, ila nahisi sahvi zimejaa zaidi.
Karudi yupo bongo anakula bata, anazo, nilimwona pale Jolly club juzi. Kama unaweza kukaa Jolly mpaka usiku mnene basi unaweza kumsaidia matumizi kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio bomu, nilitaka nisaidiane nae matumizi. lol, ila nahisi sahvi zimejaa zaidi.
Karudi yupo bongo anakula bata, anazo, nilimwona pale Jolly club juzi. Kama unaweza kukaa Jolly mpaka usiku mnene basi unaweza kumsaidia matumizi kidogo.
hhhhhhhaaaahhha!!! mambo ya jolly tena jamani! bora nije huku maporini tucheke na ngedere. lol. Halafu malila bado najipanga na ile ishu, mambo yamekuwa mengi!!!
Poa, vipi siwezi kupata kibarua cha kuzugia mjini hapo kwenu?
kibarua hakuna watu tunataka tuje shamba we unataka uje mjini!!! lol.. ngoja mbu aje atupe deals.
Huku shamba sio kuzuri kabisa, juzi Membe kasema tusije mjini kumsalimia Obama, labda pengine kwa sababu hatujui kuoga au kuvuka barabara haijulikani, sasa hivi W.Bush na shemeji wapo Holiday Inn wanaongea na wajasiriamali wenzao huku shamba hawaji.
Simba na yanga zipo mjini, Tanesco wanasambaza umeme mjini sisi tumepewa REA ambayo bila kodi ya Walalahoi haipati hela, nitafutie japo kibarua cha kuchonga viazi vya chips, Pinda kasema tufuge nyuki lakini haji kununua asali yenyewe. Korosho zangu tangu wachukue, malipo mpaka wapange wao,hata kupaka rangi viatu vyenye fungus safari hii nitafanya.
kibarua hakuna watu tunataka tuje shamba we unataka uje mjini!!! lol.. ngoja mbu aje atupe deals.
Oa kama bado hujaoa na kama umeshaoa-ongeza wa pili au nyumba ndogo, life is too short, unaweza ukafa next month ukawaachia ugomvi ndugu zako kwa hizo hela!
....mnh, Husninyo shamba utapaweza weye? Labda ujikite kwenye kilimo cha ufugaji!
Hiki kilimo cha kutegemea mvua wallahi mtihani. All in all, kuna jirani yangu maeneo ya Mkenge (pwani) kajikita kwenye kilimo cha ufuta....kumbe inawezekana!
Ufuta, ulezi, uwele, alizeti ndio mazao yatayotutoa msimu huu wa mvua haba. Karibu chai ya mchai chai na mihogo ilokaangiwa mafuta ya mawese--- mali ya shamba!
Karibu! 😉
Mtama mweupe haumei hapo Mkenge?
Juzi nimewaona jamaa wa maji wanachora ramani ya kupeleka maji hapo mkenge, vp wameshaanza kuchimba mtaro? Bei ya shamba eka moja bado ni ile ile laki tatu?
Msanii/mbu
Kama mnamaanisha ktk biashara hii ya miti,nipe e mail address zenu halafu tuone tutafanya nini.Sitaki hela ya mtu.Mimi nilishituliwa na mshikaji bure na mimi nitakusaidia bure. Michanganuo yenu mtafanya baadae mkipenda. Mimi sikufanya hiyo michanganuo.
....mnh, Husninyo shamba utapaweza weye? Labda ujikite kwenye kilimo cha ufugaji!
Hiki kilimo cha kutegemea mvua wallahi mtihani. All in all, kuna jirani yangu maeneo ya Mkenge (pwani) kajikita kwenye kilimo cha ufuta....kumbe inawezekana!
Ufuta, ulezi, uwele, alizeti ndio mazao yatayotutoa msimu huu wa mvua haba. Karibu chai ya mchai chai na mihogo ilokaangiwa mafuta ya mawese--- mali ya shamba!
Karibu! 😉
Malilaa hiyo ngoma imwage mkuu
Ng`ombe kweli wanalipa ( maziwa sio nyama),lakini jamaa yuko nje ya nchi. Mziki wa kutunza ng`ombe ukiwa mbali,tena ng`ombe wa maziwa si mchezo. Angekuwa Bongo ningemsaidia kumwonyesha kiwanja safi cha kufugia ng`ombe hao.