Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
huo mkopo masharti yake yakoje kulipa? mbona ushaandika mchanganuo tayari japo huo mchanganuo hauko makini labda ndio malengo yako.
unaishi wap? na huo mkopo utalipa kwa muda gani na riba?
je una kazi nyingine?
Michango yako inaonyesha umebobea sana kwa mambo ya biashara.Naomba tuition.
Thanks.Nitakutafuta.Fee sh ngapi?Karibu ..
Thanks.Nitakutafuta.Fee sh ngapi?
Mkuu, unachukua mkopo ili umnunulie mama Zawadi ..... duh only in Tanzania
Mkuu, unachukua mkopo ili umnunulie mama Zawadi ..... duh only in Tanzania
naona hapa wadau tumetumia zaidi madesa,10m ni ndogo kuingia soko la mitaji(achana na mambo ya warren buffet,ile ni marekani na soko lao liko strong ndio maana hata 1m unaweza kuingia kichwa kichwa kwenye hili soko),kwa kaelimu kangu ka uchumi,soko la mitaji si zuri kwa wawekezaji wadogo na ndio maana kuna umoja trust,labda upitie huko,lakini hiyo hela ukiiweka kimtaani zaidi,yaani achana na mambo ya interest yako iko wapi,faida haitaki kujua unapenda nini,just right product,location sahihi na watu sahihi wa kusimamia,ni pm nitakudirect business itakayokupa faida ya 2m per month ,hii ni baada ya kutoa gharama za uendeshaji na kodi mbalimbali,natumia simu nashindwa kuweka kila kitu
I have a business proposal and I am looking for serious partners, if you are really interested we plan and appointment, show you the proposal then you will decide