Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

huo mkopo masharti yake yakoje kulipa? mbona ushaandika mchanganuo tayari japo huo mchanganuo hauko makini labda ndio malengo yako.

unaishi wap? na huo mkopo utalipa kwa muda gani na riba?

je una kazi nyingine?

Michango yako inaonyesha umebobea sana kwa mambo ya biashara.Naomba tuition.
 
mleta uzi inaonekana hajawai kufanya biashara yoyote ila mawazo ya wadau nazani yatamsaidia hasa kwa zawadi ya mama ambapo faida ndo itumike au pesa ambayo si ya mkopo.
 
Inategemea uko wp na uko na interest na shughuli ipi.Luna biashara nyingi km mazao,mghahawa,packeging
 
dah! wachumi tunakwambia unapotea mkuu. unaomba mkopo ukatoe zawadi????????????
 
Anzisha saccos uwe unakopesha baada ya muda wanarejesha. Hata ukianza na watu 10 tu wanatosha. Napendekeza jina la saccos yako, itaitwa MBU NI MZURI SACCOS LTD.
 
naona hapa wadau tumetumia zaidi madesa,10m ni ndogo kuingia soko la mitaji(achana na mambo ya warren buffet,ile ni marekani na soko lao liko strong ndio maana hata 1m unaweza kuingia kichwa kichwa kwenye hili soko),kwa kaelimu kangu ka uchumi,soko la mitaji si zuri kwa wawekezaji wadogo na ndio maana kuna umoja trust,labda upitie huko,lakini hiyo hela ukiiweka kimtaani zaidi,yaani achana na mambo ya interest yako iko wapi,faida haitaki kujua unapenda nini,just right product,location sahihi na watu sahihi wa kusimamia,ni pm nitakudirect business itakayokupa faida ya 2m per month ,hii ni baada ya kutoa gharama za uendeshaji na kodi mbalimbali,natumia simu nashindwa kuweka kila kitu
 
Achana na mambo ya PM mkuu funguka hapa hapa jf ni darasa huru..
 
I have a business proposal and I am looking for serious partners, if you are really interested we plan and appointment, show you the proposal then you will decide
 
Upo wap mkuu na ungependa partner contribution ya sh ngap by starting
 
Back
Top Bottom