Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi

Tafiti sekta ya madini, fanya kununua na kuuza madini kama ya vito au dhahabu.
Simple projection
dhahabu unaweza kupata kwa gramu 50,000-60,000 na unaweza pata faida ya minimum 10,000 kwa kila gram. hivyo kwa mil.10 unapata faida max. mil.2 kwa kila mzunguko.
kwa biashara ya vito unaweza kujaribu madini kama rhodolite na red garnet ambayo yana soko sana arusha unanunua gramu moja kwa max. 5,000 kwa jiwe la gramu 5 na zaidi na wewe unauza mpaka 50,000 kwa gramu kwa jiwe lililozuri ni biashara inayolipa sana.
ila kumbuka ulingo wa madini una pesa nyingi sana hivyo utapeli ni mwingi yakupasa kuwa mwangalifu sana all in all AIM HIGHER AND REACH FOR THE SKIES.
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi[/QUOTE
Thanks
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi
kweli kaka huyu jamaa ana roho ya kitapeliwewe acha utapeli!!
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info
ungefunguka hapa hapa kuhusu hizo fursa za zambia na sie wengine tuzijue
kweli kaka huyu jamaa ana roho ya kitapeli
Kwani umeipataje hiyo hela ama ni mgawo wa escrow
Wanajamvi nina Tsh 10,000,000 (shilingi milioni kumi) nisaidieni ushauri wa aina ya biashara nitakayofungua niweze kuishi mjini Dodoma pamoja na familia yangu kwa kufanya biashara
Karibuni mnipe ushauri na elimu ya ujasiriamali