Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi

Ofisi za nini mkuu
 
cha msingi tunatakiwa tujue unafanya shughuli gani kwa sasa na unauwezo(skills) gani? email us;zackfinancetz@gmail.com
 
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi

Mkuu...kwanini ucfunge hapa hadharani.....! Wengine wapate maujanja
 
uliona wapi vitu vya bure nchini tanzania,hata kama unahitaji elimu ya biashara lazima ulipie jamani.....
 
Last edited by a moderator:
Tafiti sekta ya madini, fanya kununua na kuuza madini kama ya vito au dhahabu.

Simple projection
dhahabu unaweza kupata kwa gramu 50,000-60,000 na unaweza pata faida ya minimum 10,000 kwa kila gram. hivyo kwa mil.10 unapata faida max. mil.2 kwa kila mzunguko.

kwa biashara ya vito unaweza kujaribu madini kama rhodolite na red garnet ambayo yana soko sana arusha unanunua gramu moja kwa max. 5,000 kwa jiwe la gramu 5 na zaidi na wewe unauza mpaka 50,000 kwa gramu kwa jiwe lililozuri ni biashara inayolipa sana.

ila kumbuka ulingo wa madini una pesa nyingi sana hivyo utapeli ni mwingi yakupasa kuwa mwangalifu sana all in all AIM HIGHER AND REACH FOR THE SKIES.

nashukuru kwa ushauri. nitaufanyia kazi
 
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi[/QUOTE
Thanks
 
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info zaidi

wewe acha utapeli!!
 
kama una utayari wa kuvuka mpaka, njoo kwa jirani zetu wazambiani, hiyo fedha zinafunguliwa ofisi mbili ambazo zinaweza kurejesha fedha yako ndani ya mwezi mmoja tu. Zaidi ya hapo ni kutengeneza faida. Ni PM kwa info
ungefunguka hapa hapa kuhusu hizo fursa za zambia na sie wengine tuzijue
 
kweli kaka huyu jamaa ana roho ya kitapeli

Hakuna kitu kama hicho, zambia gani? Kuanzia Nakonde, kapirimposhi, ndola, kitwe, chingola hadi chilabombwe..kote huko nakujua. Hata lusaka, livingstone kote huko hakuna hio biashara..
 
Dom kwa hostels sidhani udom ina mahostel mapya ambayo hayajawahitumika
 
Dom ukipata kiwanja sehemu nzri ukajenga guest utakula kwa mrija!! si unajuwa wazee wa kitalani vikao vingi huko + madent!!!
 
nenda Ruvu kalime .

kitunguu au Tikitiki maji .

After four months ww ni tajiri .

Uje hapa na mrejesho baada a miezi minne
 
Mkuu Nimeishi DOm kwa MIAKA mitatu, na nilifanya Biashara ya KUUZA maji na Juice za AZAM, na kwa wakti ule mamabo yalikuwa mazuri sana na hasa kupeleka maji Vyuoni ya lita 12 na 6 ya uhai pia nusu lita na robo lita haikuw amabya.

Ila kwa mtaji huo ni mdogo sana, unaweza kufanya kuuza lita sita na Kumi na mbili kwani wwewe unakuw aunauza Jumla tu kwa wafanya biashara wa Vyuoni.
karibu kwa ushahuri.

Pia Biashara ya Backery kwa dodoma bado ina nafasi na hasa ile ya cake ndogondogo za dizaini tofauti naamini bado hakuna nayofany hiyo biashra kwa sasa.
 
Kibanga kwa hizi biz za maji na bite kwa wanachuo inalipa ila ni kwa msimu wa vyuo vikifungwa
 
Wanajamvi nina Tsh 10,000,000 (shilingi milioni kumi) nisaidieni ushauri wa aina ya biashara nitakayofungua niweze kuishi mjini Dodoma pamoja na familia yangu kwa kufanya biashara


Karibuni mnipe ushauri na elimu ya ujasiriamali

ushauri wangu wekeza kwa kununua hisa kunafaoda nzuri hasa kwakiasi cha hela ulionayo. zaidi tembelea DSE yani soko la hisa
 
Back
Top Bottom