Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

shamba kiwanja

mkuranga not at all
hukawii kukuta alama za viatu shambani na ukifuatilia utaambia magaidi walikuwa wanafanyia mazoezi shambani kwako
mkurnga siku zijazo hapatakalika

nimekumiss sana shosti
 
Kama ni shamba kiwanja chukua Vigwaza pale kijiji cha Buyuni, njia ya kwenda bara.Tsh 350,000/ kwa eka moja. Na dongo lake zuri. Huku Mkuranga bei iko juu, ila urahisi uko ktk kujenga.
hi!
usiendelee kuwekeza viwanja mkuranga kwa kuwa upandaji bei ni mdogo sana
mfano:shamba la mil 1 mwaka 2011 leo hata mil 1.1 hupati mteja kwa mkuranga..........nimeivuruga sana mkuranga
 
mkuranga not at all
hukawii kukuta alama za viatu shambani na ukifuatilia utaambia magaidi walikuwa wanafanyia mazoezi shambani kwako
mkurnga siku zijazo hapatakalika

nimekumiss sana shosti

daaah! kwahiyo bora niendelee kubaki mpwawa!!! mekumiss pia, ile namba yako ya voda mbona hupatikani!!:drama:
 
Nunua kiwanja anza kujenga mdogo mdogmdogo si unafanya kazi? Utamalizia mbele
 
Mkuu wazo zuri sana ila kuku wa kienyeji na kuku wa kisasa hawachanganywi kuepuka magonjwa.Nadhani ungechagua kuku wa kienyeji ni bora zaidi kwakuwa hawahitaji uangali makini kama kuku wa kisasa.Pili solar zipo kibao unaweza kuwaona M power wapo uzunguni kama unakwenda ofisi za chuo kikuu huria ukiuliza utaonyeshwa au unaweza kuwafuatilia Mobisol wapo nane nane NJIRO.Incubator kuna wachina wapo Nane Nane Njiro ulizia hapo utamaliza tatizo lako.

Muhimu sana ni kutafuta kijana makini,mchapakazi,muadilifu hizi ni sifa muhimu sana vingenevyo unaweza kulia bureeee.

Kwa ushauri zaidi unaweza kunPM kwakuwa huo mradi nauendesha shambani kwangu unalipa sana sema umakini mkubwa unahitajika.Soko la kuku wa kienyeji ni kubwa sana na bado lipo wazi tofauti na kuku wa kisasa.

Kama ni shamba kiwanja chukua Vigwaza pale kijiji cha Buyuni, njia ya kwenda bara.Tsh 350,000/ kwa eka moja. Na dongo lake zuri. Huku Mkuranga bei iko juu, ila urahisi uko ktk kujenga.

Buyuni ipi ya chanika au? Na mimi nataka 0712061124
 
Kaka hiyo 100,000 kwa daladala ni Hiace au Coaster,na kama ni Hiace ni ya mkoa gani na inapiga route gani mkuu?

Pia napenda kujua hesabu ya 50,000 kwa Suzuki Carry naweza pata wapi aisee/Mkoa au eneo tafadhali?
 
Kwa daladala za hapa Dar kwa mfano Mabibo - makumbusho au Ubungo- Kimanga, hizo ndio hesabu yao kwa siku. Suzuki Carry zile ambazo zinapaki pale Soko la Ndizi ( Mahakama ya Ndizi) ndio hesabu yao. Zote hhizi sehemu zipo dar Mpwa. Thanks
 
Aiseee,hapo umesha toka,tulia,nunua music syteam uwe unakodisha kwenye sherehe na hafla mbalimbali utatoka tu.
 
simshauri hapo kwenye bold atapoteza pesa yake.
 
Hela ya urithi nijuavyo mimi inamfata aliyeiacha.... Hyo hela syo yako mkuu ndo mana hata chs kufanyia hukijui
 
Mkuu Malila nami nimekutumia email kwa PM. MSAADAWAKO PLZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…