specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
nunua ardhi ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shamba kiwanja
hi!Kama ni shamba kiwanja chukua Vigwaza pale kijiji cha Buyuni, njia ya kwenda bara.Tsh 350,000/ kwa eka moja. Na dongo lake zuri. Huku Mkuranga bei iko juu, ila urahisi uko ktk kujenga.
mkuranga not at all
hukawii kukuta alama za viatu shambani na ukifuatilia utaambia magaidi walikuwa wanafanyia mazoezi shambani kwako
mkurnga siku zijazo hapatakalika
nimekumiss sana shosti
I have made up my mind.
Nina kiwanja 40 by 40 maeneo ya chekereni Arusha.
Nataka nifuge kuku tu, wa kienyeji na wa kisasa. Tatizo umeme haujafika.
Nahitaji mtaalam wa solar pia naweza kupata incubator hapa Arusha??
Nianze project fasta. Kila jioni badala ya kwenda bar. Naenda kwenye mradi.
Kama ni shamba kiwanja chukua Vigwaza pale kijiji cha Buyuni, njia ya kwenda bara.Tsh 350,000/ kwa eka moja. Na dongo lake zuri. Huku Mkuranga bei iko juu, ila urahisi uko ktk kujenga.
Yes yes uko sahihi at least kwenye dala dala na ndio maana nikamwambia at least atafute Ki Suzuki Carry maana kwa 10M asingeweza kupata Daladala lakini nilipenda pia kumwambia anunue Daladala, niliamua kuhamia kwa daladala pia, kuna changamoto japo sio sana ukilinganisha na piki piki maana mradi wa piki piki kwa siku ni sh.7,000-8,000 kwa flat rate ya Tshs.50,000/= kwa week.
Kama ataweza aongeze milioni tano atapata daladala nzima kabisa ya kuanzia ambayo kwa siku at least atapata sh.100,000/= ila akumbuke hii laki moja sio faida na sio pesa ya kukalia Bar na kuuza JINA, ni kwajili ya matengenezo ya gari na wewe faida yako jiwekee isizidi 20,000/= kwa siku nzima
Kwa daladala za hapa Dar kwa mfano Mabibo - makumbusho au Ubungo- Kimanga, hizo ndio hesabu yao kwa siku. Suzuki Carry zile ambazo zinapaki pale Soko la Ndizi ( Mahakama ya Ndizi) ndio hesabu yao. Zote hhizi sehemu zipo dar Mpwa. ThanksKaka hiyo 100,000 kwa daladala ni Hiace au Coaster,na kama ni Hiace ni ya mkoa gani na inapiga route gani mkuu?
Pia napenda kujua hesabu ya 50,000 kwa Suzuki Carry naweza pata wapi aisee/Mkoa au eneo tafadhali?
simshauri hapo kwenye bold atapoteza pesa yake.Futa kabisa wazo hilo.
Kwanza kwa pesa hiyo huwezi kununua bodaboda nane.
Halafu usiwekeze kwenye Biashara moja.
Ushauri wa bure:
10m,unaiona ni pesa kubwa,lakini kiukweli ni pesa ndogo sana.Ila inaweza kuzalisha pesa kubwa kama ukituliza kichwa chako.
Na hali ilivyo ni kwamba bado unapapara,nakushauri iweke Bank kama miezi mitatu kisha ndio uifanyie mradi wako unaotaka kufanya.La sivyo utajuta.
Kwanza nakushauri toa kama 700,000 umtolee sadaka Marehem ili upate Baraka zake,maana bila yeye usingezipata.
na tabia ya pesa za Urithi,yaani kama ulitoa hata elfu moja katika hizo ukaenda kunywea bia basi hata ufanye nini umaskini ni wa kwako hadi unaingingia kaburini.Maana wafu wanaona matendo yetu
daaah! mbu umekuwa mcharo.
Msanii/mbu
Kama mnamaanisha ktk biashara hii ya miti,nipe e mail address zenu halafu tuone tutafanya nini.Sitaki hela ya mtu.Mimi nilishituliwa na mshikaji bure na mimi nitakusaidia bure. Michanganuo yenu mtafanya baadae mkipenda. Mimi sikufanya hiyo michanganuo.