mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Green house ya nyanya hautaajuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unahitaji nitakupa mtu ambaye mtafanya naye biashara ya BOX(Kuagiza mizigo ya maduka ya jumla) ni biashara safi. utatengeneza pesa nzuri tu.
JF,
Nina Tsh 10,000,000/= , naomba msaada wa mawazo biashara gani nitafanya. SIna experience yoyote, nina elimu ya Degree, sina hobby yoyote ya kusema labda nichague kuifanyia bishara. Nachohitaji ni mawazo mbalimbali/tofauti tofauti ya biashara.
NB: Kama huna comment ya maana plz pita kimya kimya (sitaki matusi, ujinga, upumbavu, utoto). Narudia, ukiwa huna comment pita KIMYA KIMYA.... No bullshit comments.....
Mkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote
Usije ukarogwa kabisa kabisa. Nilkpoteza 8.5 kwa huo mradi. Tafuta Suzuki Carry mpe mtu na uwe unaifuatilia kwa karibu sana akuletee 50,000 kwa siku. Kama una shamba anzisha ufugaji wa kuku au bata.
Pikipiki hizi za Mchina utembelee miezi mingapi Mpwa? Labda unambie Boxer......ok ok nitakua nilikua na bahati mbayaMkuu inategemea mimi nna pikipiki nne nilinunua zikiwa mpya kila moja 1.8M pamoja na usajili!sasa zina miezi2,kwa wiki napokea elfu42 kwa kila pikipiki ndio mkataba nilioingia na madereva!Cha muhimu ni kupata dereva mtunzaji sababu pikipiki ikiwa mpya unaweza tembelea miezi 5-6 ukawa unabadilisha oil tu.
hivi Mbu hizo milioni kumi bado tu hujaziinvest! kama bado bora nikutafte nikuchune.:lol:
JF,
Nina Tsh 10,000,000/= , naomba msaada wa mawazo biashara gani nitafanya. SIna experience yoyote, nina elimu ya Degree, sina hobby yoyote ya kusema labda nichague kuifanyia bishara. Nachohitaji ni mawazo mbalimbali/tofauti tofauti ya biashara.
NB: Kama huna comment ya maana plz pita kimya kimya (sitaki matusi, ujinga, upumbavu, utoto). Narudia, ukiwa huna comment pita KIMYA KIMYA.... No bullshit comments.....
Kama hauna wazo la kufanya,fungua akaunti ya dola baada ya muda mfupi pesa itaongezeka maradufu. Hii nchi ya kibwege sana