Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

JF,

Nina Tsh 10,000,000/= , naomba msaada wa mawazo biashara gani nitafanya. SIna experience yoyote, nina elimu ya Degree, sina hobby yoyote ya kusema labda nichague kuifanyia bishara. Nachohitaji ni mawazo mbalimbali/tofauti tofauti ya biashara.

NB: Kama huna comment ya maana plz pita kimya kimya (sitaki matusi, ujinga, upumbavu, utoto). Narudia, ukiwa huna comment pita KIMYA KIMYA.... No bullshit comments.....
 
Punguza jazba ushauriwe! Biashara haigombi!
 
Ndugu yangu the-true-wash ikiwa hiyo pesa umeiweka kwenye savings account then am afraid hadi unapata cha kufanya, hiyo 10 million itakuwa si tena 10 million and if you're not careful inaweza kuwa hata below 5m! Kabla ya yote, ikiwa bado hujapata cha kufanyia hiyo pesa, chukua 9 million weka kwenye fixed deposit account angalau ya miezi mitatu wakati unatafuta best alternative use of the money.
 
Last edited by a moderator:
Usije ukarogwa kabisa kabisa. Nilkpoteza 8.5 kwa huo mradi. Tafuta Suzuki Carry mpe mtu na uwe unaifuatilia kwa karibu sana akuletee 50,000 kwa siku. Kama una shamba anzisha ufugaji wa kuku au bata.

Mkuu inategemea mimi nna pikipiki nne nilinunua zikiwa mpya kila moja 1.8M pamoja na usajili!sasa zina miezi2,kwa wiki napokea elfu42 kwa kila pikipiki ndio mkataba nilioingia na madereva!Cha muhimu ni kupata dereva mtunzaji sababu pikipiki ikiwa mpya unaweza tembelea miezi 5-6 ukawa unabadilisha oil tu.
 
Pikipiki hizi za Mchina utembelee miezi mingapi Mpwa? Labda unambie Boxer......ok ok nitakua nilikua na bahati mbaya
 
Wakuu habari zenu naomba kujua ukiwa na mtaji wa mil 30 ukainvest ktk biashara unaweza kupata net profit a sh ngapi kwa mwezi nataka kujua hilo.asanteni
 
Kwan uko kwenye ajira unalipwa kias gan?

kwa hyo ela unapata HIACE aka kipanya nzur kabsa,unakaa mwenyewe barabaran unaweza kuwa konda au dereva.
hesabu kwa siku 40-50 ukijumlisha na posho hukos 60 kwa siku
kwa mwez una wastan wa m1.5.
ndan ya mwaka unanunua gar nyingne
 
Nimefungua kampuni yakusambaza building material,sina mtaji,,njoo tufanye kazi..
 
JF,

Nina Tsh 10,000,000/= , naomba msaada wa mawazo biashara gani nitafanya. SIna experience yoyote, nina elimu ya Degree, sina hobby yoyote ya kusema labda nichague kuifanyia bishara. Nachohitaji ni mawazo mbalimbali/tofauti tofauti ya biashara.

NB: Kama huna comment ya maana plz pita kimya kimya (sitaki matusi, ujinga, upumbavu, utoto). Narudia, ukiwa huna comment pita KIMYA KIMYA.... No bullshit comments.....

Mdau rasomaka;

Angalia mazingira unayoish, km inawezekana anzisha biashara ya bodaboda za mkataba (miez 10 baada ya hapo inakuwa ya kwake huyo dereva, matengenezo n jukumu la dereva)

Kwa 10 millions unanunua pkpk 4 (pkpk moja inauzwa around 1.8 mil san lg inapendwa zaid, ingawa zpo nyngne za bei pungufu)

Na kila pkpk kwa siku inaingza sh. elfu 10, baada miez 6 kila pkpk imeshajrudshia hela yake ya manunuz ile miez mi4 ilyobak faida. (Mwisho wa mkataba kila pkpk inazaa nyingine)

Biashara n kupata faida, kutanuka na kuzaa biashara nyingne.

Ukikusanya hela ya pkpk 4 kwa miez 3 (1,200,000×3=3600,000/=) ni hela ambayo unaweza kununua pkpk ya matairi matatu (bajaji) ya mizigo/maji ambayo itakuletea kipande kwa siku sh. elfu 15 ( kwa mwez lak 4 ukiondoa matengenezo)

Au kuamua kununua pkpk nyngne tena na kupanua wigo mkubwa wa bzness ambapo mpk pkpk za kwanza znaisha mkataba wake, ztakuwa zmeshazalisha nyngne nyingi.

Pia kwa hela unayokusanya unaweza kubuni biashara nyngne kutokana na eneo unaloish.

Changamoto:
Kila biashara haikosi changamoto, kwa pkpk changamoto kubwa ni kuibiwa/kutoroka na pkpk.

Mkataba uwe wa maandishi kwa m/kt wa mtaa ikiwezeka hata polisi mnaandkshiana ili kuwe na usalama.

Bodaboda ya mkataba n nzur kwa wote, tajiri na dereva, dereva anafaidika kwa kuwa baada ya kumalza mkataba anaimiliki inakuwa yake hivyo atakuwa makini na ataitunza. Matengenezo n jukumu lake.

Bodaboda za kipande kwa kila siku n majanga sana, dereva akishaona imechoka anaiacha na kutafuta nyingne mpya.

Ni hayo mawazo yangu nawasilisha.
 
Back
Top Bottom