Mbu hebu jieleze ulichukua ushauri gani kuwekeza hela yako na kukupa faida na changamoto zake,na umeifanya kwa muda gani na je ulianzaje,karibu.
........in a nutshell, nili/nimewekeza sehemu tatu.
1. Long term; kilimo (mashamba)
-changamoto hapa ni hali ya hewa vs aina ya mazao.
- Faida niwezayo kukwambia ili niwape changamoto wengine ni; ardhi nilipo invest ishapanda thamani kwa 75%
2 . Midterm; Ufugaji kuku wa nyama.
-Faida, mzunguko wa pesa hapa ni monthly.
3. Short term; Usafiri Bajaj mbili tatu,
- Faida, mzunguko wa pesa hapa ni weekly.
BTW, hii thread ni ya muda mrefu kiasi, kiasi kwamba hata graph ya mafanikio imekuwa inapanda mwaka hadi mwaka.
Biashara ni discipline tu, kama muuza njugu anaiweza, why wewe na mimi tusiwe na ustahmilivu wa kutotumia mpaka ule na mtaji?
Hii thread ukiisoma tangu mwanzo, utafaidika sana na ma nguli wa biashara mbali mbali kuliko hata hizi nilizojiamulia mie
Mbu