Mkuu Malila nami nimekutumia email kwa PM. MSAADAWAKO PLZ
Nimekupa mwaliko kwa e mail yako, angalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Malila nami nimekutumia email kwa PM. MSAADAWAKO PLZ
simshauri hapo kwenye bold atapoteza pesa yake.
Mbu hebu jieleze ulichukua ushauri gani kuwekeza hela yako na kukupa faida na changamoto zake,na umeifanya kwa muda gani na je ulianzaje,karibu.
ha ha ha ahaMkuu pesa ya urith haifanyiwi biashara....ujui mzee kapataje..nenda tafuta kiwanja jenga then pangisha itakusaidia maisha yako yoote
Usije ukarogwa kabisa kabisa. Nilkpoteza 8.5 kwa huo mradi. Tafuta Suzuki Carry mpe mtu na uwe unaifuatilia kwa karibu sana akuletee 50,000 kwa siku. Kama una shamba anzisha ufugaji wa kuku au bata.
Hiyo 700,000 unamanisha akatoe sadaka kwa hakina mwingira!! Nafikiri Mtoa mada anataka kujua biashara gani afanye ilipe
Mkuu,usimpoteze mwenzio,hakuna Suzuki Carry inaleta hesabu ya 50,000 kwa siku.Ninauzoefu wa Biashara hiyo na ninaifanya.
Mkuu ungekuwa sio mwajiriwa ningekushauri hiyo hela ungenunua mahindi maana mwaka huu hii bidhaa ni issue sana!
Ungefanya hivi mil3 ungekusanya mahindi na kustore na m4 ungeanza mchakamchaka wa kuchukua mahindi shamba na kuleta mjini mpaka mavuno yatakapoisha utakuwa umezalisha m3 kutoka kwenye hii4mil. Baada ya miezi4 hadi5 mahindi ya stock yangekuzalishia m6-9 nyingine.
Hiyo hela usiiweka fixed a/c haitakusaidia coz ni ndogo sana. Na wala usiipeleke direct kwenye mradi wa shamba utadunda.
Hela ya mikopo midogo km hiyo unatakiwa uingize kwenye short term liquidity projects na sio miradi patapotea km kilimo. Otherwise utalipia mkopo hewa mkuu!!
This advise is based from my own experience.