Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Pia kwa ushauri wng mdogo lkn unamaana. MWOMBE MUNGU PIA AKUSAIDIE KUKUPA UWEZO NA NGUVU NA MAONO YA SEHEMU YAKUWEKEZA PESA ZAKO
 
Wakuu habari zenu mi ni kijana mdogo na nina ubunifu katika kutengeneza juice naomba mnisaidie mahali ambapo nitapata mashine ya juice ya kuchanganyia tayari kwa uuzaji yenye matenki 3 au 2 kama mtu anafahamu kwa roughly bei ya hizo mashine nitashukuru ningependa nipate imara ya kudumu muda mrefu nina hitaji sana asanteni sana
 
Habarini wakuu, mimi pia ni kiri ya kwamba huu uzi humekuwa ukinivutia zaidi,ninafarijika na mawazo yanayotolewa, mimi pia nimeanza kilimo cha mazao kama hoho, kitunguu, karoti na nina shamba lenye ekari 2.5 na pia lina vyanzo vya maji vizuri tu, nimeamua kuchimbia mipira chini kwa chini toka kwenye chanzo mpaka kwenye kisima nilichochimba,kwa maana hiyo sasa kilomo changu hakitategemea mvua sana,, sasa basi naombeni ushauri kwa aliyewahi kufanya kilimo cha naamna hii, uzoefu, faida, upandaji uzingatie nini hasa, aina ya mbolea ya kutumia kwenye mazao husika hapo juu,na mengineo
 
Reactions: Mbu
Ndugu uwe makini ushauri wa bure sometimes unaweza ukakupotosha,kwa kuwa unafanya kazi mimi sioni haja ya wewe kuwa na haraka.Kama ambavyo wengine wamesema 10M ni pesa kidogo sana ukianza kuitumia ila ni kubwa sana ukiwa unaitafuta.
Pesa kama hiyo si busara kuitumia katika biashara mpya labda kama una existing business na unataka kuiboresha,sahau yote niliyokwambia lakini kwa hiyo fedha usiache kununua ardhi(ardhi inaongezeka thamani kila siku) usinunue kijijini sana.
Nunua ardhi nyingine kutegemeana na hiyo ardhi iko mbali kiasi gani na wewe ulipo,unaweza fanya ufugaji kidogo.Naamini hapa hutatumia pesa yote then kiasi kingine weka bank kwenye fixed account,huwezi jua kesho itakuaje.
Kwa kweli option za ukiwa na pesa ni nyingi mno,weka na wewe akiri yako then do what is right.
 
Wadau vipi,jamani uchaguzi umeshapita naona jinamiza la ukimya katka uzi huu umeshika kasi,labda kwasababu ya uchaguzi, sawa sasa uchaguzi umekwisha,naomba wataalamu wa eneo hilo la kilimo cha mbogamboga cha kumwagilizia,tupeane experience na njia bora za kuboresha kilimo hichi
 
Reactions: Mbu
Wadau huu uzi umenivutia ... Nina nia ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya alizeti ... naomba anayejua hili anipe ufahamu ..faida na hasara zake
 
For sale

Prado Short Cheses, Year1998,Oil Type Diseal, Automatic,2600 CC ,Colour Red,127 Kml,Number D
Tel ; 0764033082
 
Nauza Samsung Galax S2 iko katika hali nzuri internal memory ni 12Gb kwa mawasiliano 0717 596 666
 

Attachments

  • 1446957834757.jpg
    22.3 KB · Views: 485
Nitafute tushirikiane kwenye kilimo, mil 2 tu zinatosha kama mtaji lakini itakulipa sn
 

Hebu kesho njoo nazo hapa Serena hotel nitakupa ushauri mzuri sana, na utafanikiwa kwa muda mfupi sana ndugu? kuja pm
 

kama ungekuwa karibu sergey yani ningekupa % zote. una akili za kuchoma meli uliyojia na kwenda kupambana hadi urudi na meli ya adui yako au ufe kabisaa usirudi. kufanikiwa c kununua vocha na kukwangua na iingie..
 
Last edited by a moderator:
Kama ni shamba kiwanja chukua Vigwaza pale kijiji cha Buyuni, njia ya kwenda bara.Tsh 350,000/ kwa eka moja. Na dongo lake zuri. Huku Mkuranga bei iko juu, ila urahisi uko ktk kujenga.
mpaka sasa vipo brother Malila
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…