Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 146
binafsi nakushauri ununue bajaji ya abiria au mizigo, ikatie bima ya compressive(ikiibiwa au ajali unalipwa) alafu tafuta mtu mwaminifu akuletee hesabu.
kwa nini sijakushauri kilimo:-
- kilimo kina hitaji usimamizi wa dhati angali wewe umeajiriwa
- kilimo kinahitaji labour(nguvu kazi) nayo ni changamoto sana kwa tanzania
- miundombinu ya kilimo sio mizuri kutoa mazao shamba kufikisha sokoni ni shida na pengine hakuna njia nzuri
- Mazingira ya shamba ni magumu maeneo mengi mazuri kwa kilimo unakuta hakuna huduma za kijamii kama network ya mitandao ya simu,hospitali,maji safi wala masoko ya vyakula
- Ushirikina umeshamiri sana kwenye vijiji vya nchi hii,kuna maeneo ili ulime uvune labda uwe mtu wa dua/maombi sana au uende kwa waganga.
Kweli mkuu, vijijini kuna mambo kwakweli