tatizo lenu watanzania mnapenda sana kuwabana watu, haya mambo ya uzoefu sijui wa muda gani ndo yanayotunyima kazi vijana wa sasa. Mimi nimepata digrii yangu ya political Science pale Mlimani nimeingia uraini muda si mrefu mnaanza fitna za uzoefu!!! Wewe cha msingi angalia mikakati yangu kama inafanya kazi lete ulaji sio kutoa kauli zakubaniana namna hiyo. Mimi hiyo kazi naiweza na nakuhakikishia ndugu yangu Mbu ukitaka unaingia bungeni bila wasiwasi. Nipe kazi Mkuru
Fiksiman nataka kugombea ubunge viti maalumu nakupataje?