Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

nimepata zangu milioni 10 nakopesha wafanyakazi wanaocheleweshewa mishahara na wanafunzi wanaocheleweshewa boom namba zangu ni pm
 
nimepata zangu milioni 10 nakopesha wafanyakazi wanaocheleweshewa mishahara na wanafunzi wanaocheleweshewa boom namba zangu ni pm

Changamoto zikoje mkuu? Vipi wateja wanaweka bond kitu gani? Security ya hela zako ikoje?
 
Changamoto zikoje mkuu? Vipi wateja wanaweka bond kitu gani? Security ya hela zako ikoje?
changamoto so far labda ni ku expand kupata wigo mkubwa zaidi wa wateja, kwani huwa nawakopesha wale ninaowajua tu, na siku wanayolipwa mshahara naijua hivyo nawabana wananilipa, either wanalipa principal+interest au wanalipa intetest tu kama mambo yao bado hayajatengamaa, interest sio kubwa ni 5% kwa siku 30, nikikopesha 100,000 nalipwa 5,000 baada ya siku 30 kama interest, nikopesha 10,000,000 yote napata 500,000 baada ya siku 30 kama interest
 

Itakuwa biashara murua hii kama wanalipa kwa wakati.

Kila la kheri mkuu"
 
nataka nifanye biashara,nipo dar,biashara gani naweza kufanya?
 
Do analysis yourself to see costs & abnormal profits b4 invite advisers .hayo my opinion ushirombo
 
Kwa mfano hizo hela zimeibiwa kabla haujapewa ushauri wa mfano wako?
 
Kaka daladala faida halisi baada ya gharama zote ni ngapi daladala ya route ipi?
 

Ndugu tuelezane basi hawa wakopeshwaji wanaweka dhamana zipi against mikopo wanayo chukua?
 
A
Hapo mkuu umenena ushauri mzuri na wa maana katika sekta zote hata zile ambazo sio za kilimo.Watu wengi huwa wanasahau kuwa 'no pain, no gain!' Pia changamoto ndio zinakufanya uielewe biashara/kilimo kwa undani zaidi.
Mungu akubariki na atusaidie sisi wote katika safari hii ya ujasiriamali.
 
Used photocopy machine kwa bei poa na zipo vizuri
 
Hongera kwa kufanya biashara na kuweza kutengeneza 5M. Mimi ushauri wangu, kama ninavyowashauri wengi ni kuhakikisha unajiuliza maswali 3

1. Nini Passion yako? Unapenda kitu gani? Kitu ambacho hata kama bure unaweza kukifanya. Kitu ambacho kamwe huboreki nacho. Kitu ambacho unaweza ukajifunza kila siku na kuwa mzoefu kuliko watu wengine. Hii muhimu sana kwani hutokata tamaa.
2. Kitu hicho kinaweza kukuzalishia pesa? Yaani unaweza kutengeneza biashara kwenye passion yako?
3. Je hicho kitu kina soko? Watu wapo tayari kukulipa pesa kwa hilo jambo?

Kama majibu yote ni yenye kurithisha basi utakuwa ni mwenye kufanya biashara na hutokuwa na uwoga wa kufeli. Sikushauri kufanya biashara uliyokuwa huipendi japokuwa ni yenye kuingiza pesa. Itakutia ma stress bure. Na vile vile sikushauri uhangaike kufanya biashara 3 wakati mmoja. Anza na jambo moja, feli kidogo, tengeneza pesa, feli tena, tengeneza pesa zaidi, feli zaidi, tengeneza pesa tena na tena na tena mpaka uwe mzoefu wa jambo lako. Usiogope kufeli. Hakuna mfanyabiashara mwenye mafanikio hapa duniani aliyekuwa hajafeli.

Huo ndio ushauri wangu. I hope itakuwa imekusaidia.
 
Acha kufikiri biashara kubwa kwa mtaji huo.
Anza na biashara ndogo ukipata uzoefu ndipo ukuwe kidogokidogo.
Mfano umeshauriwa daladala sasa mfano hice iliyotumika ulaya 54 au zaidi sasa hiyo 10ml upate gari mbovu na utakuwa mwanzo wa kufirisika na madeni juu.
Kuwa mwangalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…