Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

kanunue miti njombe kule boimanda, ila iwe karibu na barabara alafu tulia 15yrs uje utupe mrejesho
 
Wadau mimi ni Mwajiriwa,

Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.

Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.

Nitashukuru kwa kila wazo chanya
Badootu ujajiajiri
 
KWANZA PANGISHA CHUMBA CHA BIASHARA MWAKA @50"000*12=600"000
LIPALESENI YA GAS 70"000,,
NUNUA MITUNGI MITANOKUBWA
ORYX 5*79"000
MIHAN 5*74"000
ORYX NDOGO 5*39"000
MIHAN NDOGO 5*37000

NUNUA BURNER 5"KWA ALF 50"UTAUZA KWA 20000@
NUNUA REGULATOR 5 KWA 65"000,.KILA MOJA UTAUZA KWA 20"000
NUNUA PIPES ROLLER KUBWA MOJA 65"000,MT 40.KILA MT UNAUZA 4000
NUNUA MAJIKO 4@65"000 UNAUZA KWA 80"000
 
Onyo uisiogope kuibiwa ndiomapitohayo...

Kama kuna mwingine Jiran Anauza gesi hakikisha nasemahakikisha awana mahusiano yooootee amayakimwili AMA yakirohoo NA anaekuuziaa pepommoja mchafu anawapitiaga wakishajuana...wanachofanya weumeuza mzigo jamaa wanaleta zenye mzigo wanareplace NA zako empty..ukija unakuta mitungi IPO NA aijauzwa acha kabisa
 
Huyu jamaa hana hiyo hela ila anawaza endapo ataipata ataifanyia nini?hongera kwa kutaka ushauri kabla ya kuikamata mkuu.
kweli hana hiyo hela akiipata hata omba ushauri japo akipata aweke kwenye fixed deposit itamsaidia pia
 
Wadau mimi ni Mwajiriwa,

Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.

Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.

Nitashukuru kwa kila wazo chanya
Kabla hujafikiria kufanya biashara yoyote ile kitu cha kwanza lazima uijue hiyo biashara utakayo ifanya ,pili uwajue wapinzani wako hapa ndiyo patamu lazima ujue nguvu zao na upungufu/mapungufu yao nawewe ujue nguvu zako na mapungufu yako,tatu lazima uwajue wateja wako ni wakina nani na ikibidi ni muhimu kujua wanaishi wapi na income zao jikoje biashara yoyote lazima uiandikie business plan kwanza fanya makosa kwenye karatasi kwanza kabla huja ziunguza hizo pesa karibu kwa maswali maana hilo ni eneo langu pia (Do not sell what you think a customer is going to buy instead what you know is going to buy )
 
Nakushauri wekeza kwenye gas, maana ndo biashara iliyoko juu kwa sasa. Ila kabla ya kuwekeza fanya market research maana ukikosea kidogo tu hautaona faida kwenye biashara yako. Coz gas products hazipaswi kuwa karibu karibu
 
Kwa mfano ninunue boda boda 8 kwa bei ya jumla.. nifungue account say BOA bank. Kila nikipewa cash nadeposit huko.. Then cash inflow niwe nanunua boda boda moja kila mwezi. After six months si naweza kukopa na kununua boda boda nyiingi zaidi au!???
Dahh kaz kweli kweli!!!
Nahitaji kutulia
Bodaboda sikushauri km una hiyo 10m fikiria kitu kingine
 
Toa fungu la kumi.

Iliyobaki tenga sadaka na kimbuko,Omba Mungu akuongoze.

Maana njia rahisi ya kupata zaidi ni ku -bet na hivi ligi ya uingereza imeanza
 
Fanya hivi taftuta Viwanja viwili vya milion4 sehemu tofauti kama uko mkoani hizo milioni mbili zilizobaki zungushia uzio kwenye hivyo Viwanja utanikumbuka baadae
 
walipe wote ulio wadhulumu iyo pesa itakusaidia tofauti na hapo utakunywa viroba tu
 
Wadau mimi ni Mwajiriwa,

Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia.

Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa.

Nitashukuru kwa kila wazo chanya

Nenda Ibiza usafishe macho.
 
Back
Top Bottom