bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Njoo tufanye biashara ya Machupa na plastic chakavu masoko hapa hapa kama upo dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo Zuri sana umempa, kwa serikali hii hali ya uchumi na bidhaa nyingi itakuwa inayumbayumba Kila siku, na hali hii itachukua Muda mrefu sana, hakuna sehem ya kuwekeza zaidi ya kwenye vyakula tu, nafakaHuo mtaji wako ni Mzuri Kama ukiamua kufanya biashara ya duka la chakula au nafaka, mm nlianza na 4m na naendelea vyema, cha msingi ni kuwa makini pia uwe na heshima na pesa
Unashangaa ! Ni zaidi ya hiyo Machupa au plastic chakavu ni biashara yenye gledi ya mfanyabiashara karibu nikufundishe na nyingine nyingi kuhusu biashara ya material ya kwenye taka rejea zipo nyingi hiyo ni baadhi tu5m machupa
Huo mtaji wako ni Mzuri Kama ukiamua kufanya biashara ya duka la chakula au nafaka, mm nlianza na 4m na naendelea vyema, cha msingi ni kuwa makini pia uwe na heshima na pesa
Sijakusoma swali lako, weka swali vizuri mkuuMkuu hii fursa imekaaje hii?
au achimbie chini azalishe mchwa.Oa kama bado hujaoa na kama umeshaoa-ongeza wa pili au nyumba ndogo, life is too short, unaweza ukafa next month ukawaachia ugomvi ndugu zako kwa hizo hela!
Watu mna mambo mhau achimbie chini azalishe mchwa.
mchwa 10000 kwa siku
akiweza kuzalisha mchwa 1000000 atakua bilionea mzuri tu
Nimeipenda sana hii mimi nimeifkiri sana hii biashara na 2M nafkri kuongeza kidogo nianze japo na 2.5Huo mtaji wako ni Mzuri Kama ukiamua kufanya biashara ya duka la chakula au nafaka, mm nlianza na 4m na naendelea vyema, cha msingi ni kuwa makini pia uwe na heshima na pesa
HAHAAAAAAje unataka investment ya muda mfupi au mrefu, specify,pili biashara hiyo utasimamia mwenyewe au unataka uweke mtu wa kuisimamia? Je unataka biashara hiyo ndo uitegemee kwa maisha ya kila siku? Uko tayari kwenda kinyume cha imani yako(kama una imani/dini) ?
Tupe fursaUnashangaa ! Ni zaidi ya hiyo Machupa au plastic chakavu ni biashara yenye gledi ya mfanyabiashara karibu nikufundishe na nyingine nyingi kuhusu biashara ya material ya kwenye taka rejea zipo nyingi hiyo ni baadhi tu
Nenda kawaulize wachina huko kwao plastic chakavu hamna mpaka wanajazana kwetu?ukiona hivyo biashara ya taka rejea kwao wako wengi wamachungulia Africa wanasonga amka sasa achana na biashara za mazoea5m machupa